Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.
Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka...
Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari:
BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Katika Mwaka wa Fedha 2023/24...
Balozi wa USA Tanzania bwana Battle amemimina sifa kemkem Kwa Rais Samia Kwa jinsi ameimarisha Demokrasia na uhuru wa kujieleza Aliyoleta mifano jinsi Vyama vya Upinzani hasa Chadema vilivyo huru...
Namshauri tu Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu aanze kuhamasisha mabadiliko ya Katiba kwenye UKAWA yaani CUF na CHADEMA.
Prof Lipumba, Mzee Cheyo na Mhe. Mbowe ni miungu Watu hawa kwenye...
Mkopo huo umeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwaajili ya kuiongezea uwezo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Kwa mujibu taarifa ya AfDB, Benki ya...
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho...
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza...
Juzi hapa niliweka thread JF iliyosema wengi wa matajiri wa Tanzania ni wanasiasa na sio wafanya biashara, nikiwa na maana kwamba utajiri wao haujatokana na kufanya biashara bali umetokana na...
Naomba kuiambia serikali kupitia Wizara ya Elimu na Wizara ya mambo ya nje ,kuingilia kati suala hili la wanafunzi wetu waliopata ufadhili wa Elimu (Master's Degree ) nchini Poland.
Serikali ya...
Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya...
Wakati Makonda anakiwasha sana kule Arusha kwa mkurugenzi wa jiji la Arusha kule Tabora mkurugenzi wa Sikonge nae hali ngumu sana baada ya hospital ya halmashauri kuonekana kama ilijengwa chini ya...
Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena.
Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo...
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya...
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi.
Dickson Lucas Matata
Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya...
Tutazuia hadi lini?
Ni makala fupi kwa njia ya video kama inavyoletwa kwako na Mwandishi na Mwahabari nguli Ansbert Ngurumo aishiye uhamishoni Uingereza..
Ni kuhusu muungano wa Tanganyika na...
Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama.
Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameongoza Mkutano wa 16 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Fedha na Uchumi (SCFEA) na mkutano wa Mashauriano ya Kibajeti wa Mawaziri wa...
SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII
WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.