Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Unaambiwa huko ccm kila Jini na kiti wake, Yaani kila Shetani na Mbuyu wake. Noma kweli! Ushahidi huu hapa
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema amekabidhiwa gari lake lililokuwa kituo cha police likiwa halina plate number Lisu amesema ana Taarifa number za Gari lake zinatumiwa na Mtu...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Balozi wa Marekani amesema ni dhambi na aibu kwa Nchi yoyote kuruhusu mtu mwingine yoyote bila kujali ni America, China au Pluto kuja Nchini kwako kuchukua Rasilimali zako kisha kutengeneza fedha...
2 Reactions
11 Replies
590 Views
Kichwa cha thread kinajieleza Ukifuatilia utendaji wa Makonda kwa sasa utatambua Kuwa ameujua Ukweli Watanzania hadi vijijini wameshaamka ila bado Watu wa DSM ndio wamekariri maisha ya Uchawa...
3 Reactions
7 Replies
352 Views
Wanajukwaa, Nchi yetu iliingia katika mfuko wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 ikiwa ni miaka 32 sasa. Kati ya vyama vya siasa vilivyosajiliwa wakati huo ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
4 Replies
408 Views
Kuna dalili zimeanza kujitokeza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wabunge, madiwani na Rais 2025 kutokuwa huru na haki. Hii ni kutokana na ushahidi wa chaguzi ndogo zilizofanyika hivi...
1 Reactions
4 Replies
350 Views
Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi. Mathalani, kwenye nafasi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
Mabunge ya bajeti yalikuwa bamba msemo wa nashikiria shilingi mpaka waziri akome ..Je sasa vipi mambo yanaenda swafi ?
0 Reactions
1 Replies
182 Views
Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB. Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa...
14 Reactions
57 Replies
4K Views
Nitofautiane na makada wenzangu kwenye swala Zima la desturi kuifanya sheria ndani ya chama! Hatuna Cha kuogopa Wala kupoteza kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea mpya hapo 2025, ninaamini...
2 Reactions
5 Replies
423 Views
Miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu inajegwa na wakandarasi wa kigeni hasa Wachina, miradi hiyo mingi imesimama pesa ya kuwalipa hakuna. serikali inajaribu kuwashawishi waendelee kujenga kwa...
5 Reactions
13 Replies
622 Views
Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais! Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na...
1 Reactions
12 Replies
524 Views
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
9 Reactions
145 Replies
3K Views
Nimekuwa najiuliza KAZI za Waziri ni zipi?Je ni kusimamia Sera ktk Wizara yake au Kuzunguka Nchi nzima kutatua MIGOGORO? Wizara ya Ardhi ni moja ya Wizara zinazoongoza kwa Migogoro Nchi kwa Miaka...
3 Reactions
25 Replies
956 Views
Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake. Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu. Kila mahali wanataka huruma. Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya...
4 Reactions
25 Replies
728 Views
Kimsingi Wabunge wa Viti maalum kazi yao kubwa ni kupiga makofi na kutoa sauti kubwa ya " NDIO" wakati wa kupitisha vifungu na kazi hii inaweza kufanywa kwa Ufanisi na Robot kwa sababu atakuwepo...
4 Reactions
8 Replies
684 Views
Ni ushauri tu kwa sababu kwa Sera za Chadema na hata sera za madhehebu fulani ya Wagalatia Zanzibar ni Jimbo Muungano wa Kweli ni Ule wa Serikali 1 tukishindwa tuitafakari sera ya Chadema...
0 Reactions
5 Replies
282 Views
Kumekuwa na ongezeko la ufaulu wa wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne na cha sita mwaka hadi mwaka na serikali imekuwa ikipongezwa kwa kuongeza ufaulu mwaka hadi mwaka Hata hivyo hali imeguaka...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
MHE. NOAH LEMBRIS, Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Akizungumza Kuhusu Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bungeni Jijini Dodoma "Niliposoma taarifa ya...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
Back
Top Bottom