Wana Jf wenzangu......!!
Leo ni mara ya 3 nikitokewa na ndoto kuwa Rais wa JPM atakuwa kiongozi pekee atakayeliongoza Taifa kwa kipindi cha Miaka 5 tu na sababu pekee ni kwamba atapigwa chini...
Wakuu hee!
Leo tujikumbushe kidogo aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi hapa alikuwa bungeni akieleza kuwa amewahi kuvunja...
Nianze na nukuu hizi mbili kuntu za Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere- Mwenyezi Mungu amrehemu.
“Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi...
Nimekutana na hii Article iliyoandikwa mwaka 2015 na Jean Paul Romeo Rugero kwenye mtandao wa HIMA-TUTSI EMPIRE | African Agenda – A new perspective on Africa imenisisimua. Na hasa ni kuhusu hawa...
Kuna uzembe mkubwa sana katika ulinzi wa Rais,
Watu wanadhani kuwa na bodyguard wengi au magari mengi ndiyo ulinzi husika
Nimenusa jambo kwenye maeneo haya matatu
Kuna uzembe sana kwa Mawakala...
Amina Mohamed ambae ni mdau wa Bandari za Tanzania na Mombasa amesema Bandari ya Dar es Salaam inakabiliwa na tatizo na kukosa Ufanisi ambapo ametolea mfano kamba ukitaka kutuma Makontena...
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha...
Wanabodi,
Ninapotafakari kwa kina mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ninakumbuka falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kama ingetekelezwa ipasavyo, inaonekana...
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
* Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira...
Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga...
Tume Huru ya Uchaguzi ni vema ikatenda HAKI kwa asilimia mia moja. Iachane na makosa madogo madogo/ pingamizi kwa mfano.
(1) Mtu kukosea herufi ya jina lake au chochote kilichoandikwa kwenye...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja...
Siasa za sasa zimekuwa na mtindo tofauti hasa katika kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa Jamii na baadae kukanushwa kwa lengo la kuwaaminisha wafuatiliaji wa mambo kuwa kilichoandikwa na kupostiwa...
Chama Cha siasa huuza Sera zake na Ilani yake Kwa Wapiga Kura ambao wamejiandikisha kwa Mujibu wa Sheria
Chama Cha siasa kamwe hakiwezi kuwapangia Wapiga Kura nini cha Kufanya Ndio sababu Wapiga...
Hivi Kuna Rais amewahi fanya makubwa na kuleta mafanikio kwenye sekta ya Michezo,sana n burudani kumshinda Samia katika historia ya 🇹🇿?
Huwezi Kuta SSH akijigamba ila matokeo kwake ni makubwa...
Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa...
Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !
Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.