Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amewataka Wanakilindi na Wanatanga kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan...
HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia
====
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi...
"Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu...
Ikiwa ni ishara kuwa hila zote za CCM na vibaraka dhidi ya CHADEMA zinapuuzwa na Watanzania, post za yule mpambanaji zamani aliyegeuka kibaraka wa CCM na Mwigulu Nchemba (Kigogo wa Twitter)...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro pamoja na uongozi wa CCM Wilaya na kata pamoja na MH.BURINDORI diwani wa Kibogora wameshiriki zoezi la kuwashwa Kwa Mnara katika Kijiji Cha...
Mkoa wa Tanga umebarikiwa kwa vitu vingi, kuanzia watu wake, ardhi yake, huduma za kijamii pamoja na mengine mengi.
Lakini baraka nyingine kubwa ni ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
MAHAKAMA ya Rufani kesho inatarajia kusikiliza rufaa dhidi ya Mkuu wa Upelelezi wa mkoa wa Dar es Salaam (RCO) wa zamani Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Abdallah Zombe na askari wenzake wanane...
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Wiki hii tumeshuhudia vijana 4 kati ya 6 waliofanya uhalifu wa kumlawiti binti wa Yombo Dovya wakifikishwa mbele za Pontio Pilato...
Tayari Chama cha Mapinduzi CCM Kwenye Mkutano wake Mkuu Kimempitisha MH Samia Kuwa Mgombea Urais na Dr Nchimbi Kuwa Mgombea Mwenza,Kule Visiwani Zanzibar Dr Hussein Mwinyi
Rai Yangu Kwa Chama...
📍 WANAWAKE VIONGOZI WA SIMIYU WAPATIWA MAFUNZO KUIMARISHA UTAWALA BORA
📅 19 February 2024 | Simiyu, Bariadi – Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mery Pius...
Wakuu unaweza kusikia maneno yanayotoka kwenye kinywa cha Mnyika akidi haikutimia.
Chadema badala ya kumfukiza Mchome au kujificha kwenye kichaka kuwa katumwa na Abdul. Tungejibu hoja zake na...
Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya...
Ameandika Hilda Newton
"Tulienda kwenye Uchaguzi wenzetu walikuwa na msemo wao unasema ‘UKIPIGWA HAKUNA KUHAMA CHAMA’ wakiamini kwamba Mhe. Lissu na Heche watapigwa na wakipigwa hawatabaki ndani...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Halima White Zuberi amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu mamlaka yapo kwa wananchi kwakuwa watachagua viongozi bora wanaowataka...
Hongereni na poleni na kazi ya kutafuta mkate wa kila siku. Leo nimefikilia sana in deep, juu uchaguzi wa CHADEMA, bila shaka uchaguzi ule umeacha vidonda na makovu makubwa kwa upande wa wale...
Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo Mh Saeed Kubenea amemwambia Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika kuwa Ukiona Mwanachadema anakimbilia kwa Msajili wa vyama vya siasa kushtaki ujue kuna Mtu wa Mfumo nyuma...
HISTORIA YA MKOA WA KILIMANJARO
Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare.
Kabla ya Uhuru Mkoa wa...
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) Kanda ya Victoria limelaani na kukemea matukio ya watu kutekwa yanayoendelea kujitokeza nchini.
Akitoa kauli hiyo, tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.