Ni tangazo la Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kwamba
Ni marufuku mwanaccm Kufanya Sherehe za Birthday au anniversary ya ndoa au Kumbukumbu ya Vifo au Kipa Imara au Jando na Unyago na kisha...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama...
Salam kwenu.
Katika mkutano wake na makatibu matawi na kata katika wilaya ya Dodoma ameweka vipimo mathubuti kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwa maelekezo yake thabiti dhidi ya watia nia wote tutarajie...
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa n
1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7. Chawa wa Mama
8...
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.
Awamu ya...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 4 imeendelea na utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Kurasimisha Makazi yasiyo rasmi ambapo jumla ya...
https://youtu.be/PGcgyOd8TFc?si=QOt8kFjpEMSsLqun
Hii sawa hii jamani ?
Katuma Shehe Mkuu wa D'Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa, mtu mzima na heshima zake, kasimama mbele ya camera...
Wakuu,
CCM ndio mko deparate kiasi hiki?:BearLaugh::BearLaugh: Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki:BearLaugh::KEKWlaugh::pepeLaughers:
Barabara...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dar es salaam Edward Mpogoloe amesema kampeni ya ‘Hala Bi Mkubwa” iliyoanzishwa na Mtangazaji Barton Mwemba maarufu Mwijaku itasaidia kunadi kazi nzuri zilizofanywa chini...
Wakuu
Mmesikia majibu ya Semaji la Serikali Msigwa?
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amemjibu kuhusu hpla za 'Goli la Mama' kwa timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga ambazo hutolewa...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyowasilishwa...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka majimboni:BearLaugh::BearLaugh: eti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo:BearLaugh::KEKWlaugh...
BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, limefanya Mkutano Maalum wa Mapitio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba, 2024) na kisha...
"Nilikutana siku moja na mjomba wangu, Lema, akaniambia: 'Bwana, ni hivi tu, mimi ni mpinzani, siwezi kusema hadharani, lakini nataka niwaambie—mzigo anaoupiga Dkt. Samia umenifanya hata hamu ya...
Dkt.Rugemeleza Nshala ana uchungu na CHADEMA?
Maana tangu kufatilia siasa za upinzani huyu sijawahi kumuona kuvaa gwanda.
Leo ndio mwanasheria mkuu wa CHADEMA.
Au urafiki wa Lissu ndio...
Watu wengi hawaelewi kwanini Waislamu hawaitafsiri Quran tukufu katika lugha mbalimbali bali wanaitumia kwa lugha ile ile kama ilivyoshushwa
Ni kwamba maandishi yanavyozidi kutafsiriwa ndiyo...
Kwa unyenyekevu sana naomba kupitia tweet hii ya Mhe David Zacharia Kafulila.
Nawaomba mnaoshangaa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu kukopa sana niwaombe pia kupitia tweet hii mshangae pia namna...
Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu...
Wakuu,
Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge, Sera , Vijana , Kazi na Ajira amesema yafuatayo wakati yuko kwenye kwenye mahojiano pale EATV
"Hoja ya kushiriki uchaguzi mkuu bado hatujaifuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.