Mimi ninaamini katika ushindani lakini kuna mambo yanani fanya nione kuna watu kwenye hii dunia mifumo iliyopo imewatenga kabisa.
Ninachoelewa mimi suala la imani kwa Mungu ni la moyo wa mtu...
CCM mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani. Mitano tena ni kwa Rais Samia Suluhu tu kwa madiwa na wabunge mwendo wa ngiri mkia juu. Hayo yamesemwa na Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa...
BALOZI NCHIMBI: CCM HAITAVUMILIA WANAOKIUKA KANUNI
Dodoma
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameonya vikali wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani...
BALOZI NCHIMBI: CCM HAITAVUMILIA WANAOKIUKA KANUNI
Dodoma
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameonya vikali wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo...
Tangia Tundu Lisu alihutubie Taifa, nimejikuta nimepoteza Amani na furaha ya Moyo wangu.
Hotuba ya Tundu Lisu imenigusa mno. Najiona ni mtumwa ndani ya Taifa langu.
Mimi Kama raia katika Taifa...
Wakuu,
Mkazi wa Kijiji cha Busekela wilayani Musoma Mkoa wa Mara, Helment Turutumbi (45) hajulikani alipo baada kuchukuliwa na watu wasiojulikana ambao walifika kijijini hapo na kujitambulisha...
Mtoto wa Trump amemuomba baba yake aisamehe Africa kwani Wananchi Wao watakufa wakikosa misaada
Ingekuwa Tanzania mtoto wa Trump angesakamwa kweli kweli 😂
Wasalaam.
Zimenifikia habari za uhakika kwamba kuna viongonzi wa dini wamefanikisha kuwakutanisha wawili hao kwa mazungumzo muhimu kuelekea uchaguzi mkuu mwenzi Oct kama utakuwepo na kauli mbiu...
Tangu Rais Samia alipopokea kijiti cha uongozi wa nchi mwaka 2021, amesifiwa na baadhi ya Watanzania kama Mama mwenye moyo wa ukarimu, hususan katika kujitoa kwa hali na mali pale anapodhani...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeisikiliza mara mbili mbili video ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali, Venance Mabeyo aliyekuwa ndiye Mkuu wa Majeshi wakati wa kifo cha hayati Dkt Magufuli...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za kwa maslahi ya taifa, ambazo huwa na maswali, hoja, majibu utaweka mwenyewe, swali la leo ni kujiuliza kwa sauti, asking...
Tiririka hapa tuyakumbuke maana ni muda wa watu kiongoza na watatuongoza milele
Ungependeza ungekuwa utawala wa awamu ya kwanza - Sikuwepo (Nilisimuliwa)
Ungependeza ungekuwa utawala wa awamu...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Halima Mamuya amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa na mpinzani katika...
Katibu wa Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha, Mzee Amimu Ngalawa, ameomba serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu, akisema kiasi wanacholipwa ni kidogo na hakiendani na muda...
Historia ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni...
Wakuu,
Wote tunashuhudia kipindi hiki cha uchaguzi wanasiasa wakiangahaika huku na hukokuonesha wananchi wao ni watu wa kazi, wanawasikiliza kero za wananchi na kuzitatua kwa wakati, wanafika...
Honeymoon si mnaijua? 😁😁😁
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.