Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu...
Miaka mitano imeshaisha sasa miamba inaenda kuomba nafasi kwa miaka mitano mingine kisha wakapige makofi bungeni na kusisitiza kuwa vijana wajiajiri ilihali wao wamekomaliaga hapo tu.
===
Mbunge...
Ni majuzi tu hapa nilitoa angalizo kuhusu hawa Mabwana waliojifanya ni Wana CHADEMA kwa muda mrefu kumbe ni mapindikizi ya CCM ndani ya CHADEMA
Nahisi kwa hali inayo endelea hawa vibaraka...
Katibu wa Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha, Mzee Amimu Ngalawa, ameomba serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu, akisema kiasi wanacholipwa ni kidogo na hakiendani na muda...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani...
Wakati serikali iko katika mchakato wa uhakiki pamoja na maboresho ya mishahara kwa watumishi wa umma ningependa kuchangia kidogo juu ya haya makundi mawili tajwa ya watumishi wa umma.
Nianze tu...
BARAZA la Wazee mkoani Arusha limetaka ushirikishwaji katika vikao mbalimbali vya kijamii na ngazi za kimaamuzi ikiwemo bungeni ili kutumia hekima na busara zao kwenye hatua za maamuzi katika...
Wananchi hao wa Kiboriloni wamesikika wakilalamika miundombinu ya barabara kuwa ni mibovu sana na mbunge wao hawajamuona tokea atoe ahadi ya kushughulikia barabara hiyo.
Wameongeza kuwa...
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta...
GPSA au Wakala Wa Manunuzi Serikalini ni miongoni mwa taasisi zinazoikwamisha serikali katika kupiga maendeleo ya haraka.
Siku nyingine nitakuja kwaajili ya taasisi nyingine lakini leo twende na...
Habari za leo,
Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi.
Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza...
Viongozi wa serikali katika nchi nyingi za Dunia ya Tatu hutumia mbinu mbalimbali za kifisadi ili kuiba pesa za wananchi huku wakijifanya kuwa waadilifu na wenye dhamira ya maendeleo. Wanafanya...
Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) CCM Zanzibar Ndg. Khadija Salum Ali amefanya zoezi la kuhamasisha Madereva wa Boda boda Saateni (Pinda Mgongo) juu ya...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu Ally Hapi, ametoa onyo kali kwa viongozi wa Serikali za vijiji wanaotokana na CCM, akiwataka kuacha tabia ya kujiona miungu watu kwa kuwaonea...
Nimekuwa nikifuatilia utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ndugu Chacha ni mfano wa kuigwa. Anafanya kazi kwa manufaa ya wananchi wote wa Tabora. anaenda kila Wilaya kusikiliza kero za...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wameshafanya maamuzi ya kumteua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais hivyo wanaopiga...
"Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.