Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira atupa vijembe kwa CHADEMA adai hawajashika dola lakini wanagombana na kushikana mashati je wakipelekwa ikulu si watagawana hadi vikombe? Soma Pia: Pre GE2025...
0 Reactions
45 Replies
2K Views
Matamshi yake yataleta mpasuko wa watanganyika. Kina kitu kibaya anakilenga. 1. Mara tutatawala milele 2. Mara tutawashughulikia 3. Mara wako honeymoon..matusi makubwa 4. Mara tulileta uhuru hivyo...
26 Reactions
100 Replies
4K Views
Wakazi wa Mbagala Mzinga Wamefunga barabara ya kutoka Dar kwenda Mikoa ya kusini kwa madai ya kuchoshwa na ajali kwenye eneo lao, jambo hilo limesababisha foleni kubwa ya Magari. Jambo hilo...
13 Reactions
60 Replies
5K Views
Ni Ushauri tu Camera zifungwe kuanzia Shekilango Stendi ya mkoa hadi Jiji Jipya la Biashara Kariakoo Halafu Camera nyingine zianzie hapo Shekilango Stendi ya mkoa hadi pale Ubungo China Town...
1 Reactions
2 Replies
118 Views
  • Redirect
Hii ni sawa na kusema "mkuki kwa nguruwe kwa mwanadamu uchungu" kwamba wengine sawa ila wengine hapana, hili halikubaliki. Mkishaamua kuwapitisha wagombea tena bila hata kujaza fomu iwe ruksa kwa...
4 Reactions
Replies
Views
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Tanzania Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha limeunga mkono uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumteua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea tena nafasi ya...
1 Reactions
6 Replies
232 Views
Vyama vya siasa, hasa vyama tawala katika nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania, hutumia mbinu nyingi za hadaa kuwashawishi wananchi na waumini wa demokrasia ili waendelee kushikilia madaraka na...
0 Reactions
1 Replies
118 Views
Wakuu NCCR nao nao wanadai hawapo kuunganisha nguvu na chama chochote cha upinzani, wanasahau kidole kimoja hakivunji chawa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
3 Reactions
19 Replies
594 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo. Lengo la...
1 Reactions
1 Replies
101 Views
Wanabodi Hii ni makala ya Jumapili ya leo. Hili ni bandiko mwendelezo wa bandiko hili Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba...
11 Reactions
58 Replies
3K Views
Wanabodi, Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf. Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya...
16 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni kuhusu fursa ya kuufanya uchaguzi Mkuu ujao wa Rais, Wabunge, Madiwani na serikali...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni bandiko...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hili ni swali la pendekezo uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, usogezwe na kufanyika 2025...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
  • Redirect
Ofisi ya msajili wa Vyma vya siasa ,imesema barua ya malalamiko kubusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya CDM iliyowasilishwa katika ofisi na kama wa chama...
0 Reactions
Replies
Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni pongezi...
17 Reactions
83 Replies
7K Views
Wakati Serikali ya Marekani chini ya Rais Donald Trump ikikata misaada yake kwa mataifa mengine, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Marianne Young, amesema nchi yake itaendelea kutoa misaada ya...
4 Reactions
39 Replies
881 Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
20 Reactions
228 Replies
15K Views
Back
Top Bottom