Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ni Ushauri tu Kwa sababu iliaminika Freeman Mbowe na Zitto Kabwe ni Mawakala wa CCM Ni vema Tundu Lisu na Othman Masoud wakaviingiza vyama vyao kwenye Ushirikiano Ahsanteni sana 😄
1 Reactions
8 Replies
198 Views
Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, amewataka wajumbe kumheshimu wakati wa mkutano wa Bunge uliofanyika Geneva siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024. Mvutano ulianza baada ya...
29 Reactions
244 Replies
14K Views
Mwezi Oktoba 2024 serikali kupitia Waziri Kikwete walitangaza kwa mbwembwe kubwa kuwa watumishi wote wastaafu wanaolipwa pension yao kupitia Hazina wataongezewa kiasi cha 50,000 kuanzia January...
1 Reactions
7 Replies
401 Views
Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo...
5 Reactions
29 Replies
630 Views
Jimbo la Vunjo ni kati ya majimbo 100 nchini ambayo yamenufaika na mradi wa ujenzi wa shule mpya za sekondari Mafunzo ya Amali Uhandisi, ili kuwawezesha Vijana kupata ujuzi na kuwa mahiri. Kwa...
0 Reactions
6 Replies
238 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Msituletee Habari za Vifo tu vya Viongozi kufia Nje ya Nchi walipokua wanatibiwa. Na Watanzania hawatakiwi Kuogopa Et kufanya kazi Nchi za waarabu ni hatari, Kuna kuuwawa n.k Dunia iliingia...
11 Reactions
47 Replies
1K Views
Hiki chama ni Cha wababe yaani wanaweza wakasema mlale saa 12 na mkalala na hamna mtachofanya sababu vyombo vya ulinzi vimepakatwa na CCM Nawaambieni mkitaka mtoboe maisha tokeni bongo njooni...
1 Reactions
19 Replies
362 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, nakuja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", leo nazungumzia kitu kinachoitwa the Political Vision, Focus na Targets. Moja ya matatizo...
17 Reactions
86 Replies
5K Views
Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu, Nimeshangaa serikali...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu...
25 Reactions
140 Replies
2K Views
Maji safi na salama ni janga la kitaifa. Miaka 60 ya uhuru mnashindwa kusambaza maji safi na salama. Mfano ni mji kama Chato upo kma moja karibua na ziwa lakini wananchi hawapati maji safi na...
1 Reactions
10 Replies
212 Views
  • Redirect
Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya...
1 Reactions
Replies
Views
Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu...
0 Reactions
16 Replies
284 Views
  • Redirect
Hii ni taarifa kwa mujibu wa clip inayopatikana katika akaunt ya X ya Hilda Newton. Sababu ni kushikiza kuachiwa kwa kiongozi wao Amani Manengelo anaedaiwa kutekwa. Maandama yataanza saa 2...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya...
1 Reactions
20 Replies
553 Views
Friends, ladies and gentlemen. Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano...
2 Reactions
154 Replies
4K Views
Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limesema kwa asilimia 95 limetekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi katika kukamilisha miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa na iliyokamilika katika...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni...
25 Reactions
120 Replies
10K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa...
18 Reactions
235 Replies
6K Views
Back
Top Bottom