Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa zile harakati za Wanaharakati wa wakati ule tuliokuwepo tunazikumbuka lakini walishindwa. Huu mfupa Tundu Lissu ana dhamira ya kweli ya kuutafuna au ni mbwembwe tu za Fisi kufuatilia mkono wa...
3 Reactions
78 Replies
2K Views
Friends and Enemies, Greetings! Hatuwezi endelea kuishi katika kivuli cha lawama kwa mwendazake hasa katika mambo ambayo yeye aliyafanya huku akiamini kwamba huenda alikuwa anaijenga Tanzania ya...
5 Reactions
80 Replies
5K Views
Mbunge wa Bukene Selemani Zedi (CCM), ameonesha kutoridhishwa na kupunguzwa kwa bajeti ya maji na kuishauri serikali kuongeza bajeti hiyo kwa kuwa ni sekta muhimu kwa wananchi. Akichangia...
1 Reactions
15 Replies
548 Views
Kama kuna Mbunge ameandaa matamasha na kurekodi matukio anayofanya ni Tulia Ackson. Ameandaa wasanii wakubwa , ameandaa mpira , ameandaa vikundi vyakusaidia nakadhalika . Ila hadi sasa bado...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Waziri Kivuli wa Maji wa ACT Wazalendo Ndg. Yasinta Cornel Awiti amesema kuendelea kwa vitendo vya uzembe na ubadhirifu katika miradi ya maji ni chanzo cha tatizo la upatikanaji duni wa huduma ya...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Ndugu yangu Yericko Nyerere na makada wengine nikwanini mna nasibishwa na pombe kali aina ya viroba?
0 Reactions
0 Replies
150 Views
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI GARI YA KUBEBEA WAGONJWA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Jijini Dodoma imepokea gari nyingine ya kubebea wagonjwa hivyo kufikisha magari...
0 Reactions
3 Replies
550 Views
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji". Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM. *Aliwakusanya masingo...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Lowassa alikuwa na madhaifu yake, lakini inawezekana hakuwa mbaya kiwango ambacho wanasiasa waliokuwa wana chuki naye walikuwa wakimtuhumu. Pamoja na madhaifu yake, alikuwa kiongozi mzuri. 1...
0 Reactions
3 Replies
308 Views
Unaweza kufanya utafiti mdogo wewe mwenyewe na utagundua kundi la Viongozi wa Chadema waliounga Juhudi na wale walioenda NCCR mageuzi, CUF na ACT Wazalendo wote wanamkubali sana Tundu Antipas Lisu...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Najaribu kuwaza kilichowapata wafanyakazi wenye vyeti fake walibainika kuwa hawana vyeti halali ili kuhalalisha ajira zao.Wafanyakazi hao waliondolewa haraka serikalini na kusitisha mishahara yao...
2 Reactions
15 Replies
536 Views
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar. Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
35 Reactions
171 Replies
8K Views
SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi. Foleni...
1 Reactions
3 Replies
378 Views
Takriban wiki mbili sasa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa,Tundu Lissu amekuwa akizunguka na kutoa tuhuma za rushwa zinazoendelea katika uchaguzi wa ndani wa Chama hicho. Lissu ameenda mbali...
2 Reactions
5 Replies
391 Views
PIA SOMA - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
2 Reactions
64 Replies
2K Views
Habari zenu bwana!. Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa. Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
15 Reactions
49 Replies
3K Views
Nimeona kwenye mtandao wa X Lema amepost kitu ameita " sielewi kabisa" . Uchonganishi aliopost huu hapa https://twitter.com/godbless_lema/status/1788569776366723518/photo/1
1 Reactions
8 Replies
576 Views
Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel; 1. Nani anaratibu? 2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata...
20 Reactions
123 Replies
9K Views
Back
Top Bottom