Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
KATIBU MKUU, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA HOTELI YA RAMADA: ========= 11:30: Maalim anaanza kuzungumza Nimekuja kufichua mbinu chafu za Lipumba"...
9 Reactions
149 Replies
15K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO, MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), KUHUSU UTEKELEZAJI WA MPANGO WA...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila, kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda. Tunakushukuru sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
DKT. BITEKO AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said...
1 Reactions
5 Replies
457 Views
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
5 Reactions
192 Replies
6K Views
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda...
15 Reactions
198 Replies
9K Views
Ukiangalia mlolongo wa Wawekezaji wa ndani waliopewa Viwanda na serikali ya Mkapa wakati wa sera ya ubinafsishaji na wamevitelekeza wote ni Waswahili waarabu akina Abood, Mo Dewji, Manji na...
1 Reactions
3 Replies
464 Views
Hizi ni baadhi ya shida za Wananchi ambazo Mkuuu wa Mkoa anapaswa kuzitatua. 1. Mimi nilikuwa Mzuri ila mume wangu kanifubaza kwa Mateso Mkuu wa Mkoa nisaidie" hiyo ni Kauli ya mmoja wa wanawake...
2 Reactions
3 Replies
378 Views
Tundu Lisu, kwa historia yake, matendo yake na kauli zake, ndiye mtu anayetakiwa kutambulika kama mtetezi namba moja wa haki, usawa, ukweli na umoja wa Watanzania wote bila ya kujali hali ya mtu...
17 Reactions
72 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
2 Reactions
78 Replies
3K Views
Huo ndio ukweli mchungu sana ambao mwanaccm anatakiwa kuukubali. Ufisadi,wizi,rushwa na upigaji dili Kwa asilimia kubwa wahusika ni wanaccm,Cha kushangaza hakuna hata mmoja yupo...
1 Reactions
1 Replies
285 Views
Kiukweli takukuru navyoiona NI chombo kinachombo ambacho hakina Meno kwa wabadhilifu wa nchi hii NI kama kinaelekelezwa na viongozi wa ccm nini kifanyike na kipi kiachwe nachoshangaa kauli ya...
0 Reactions
10 Replies
458 Views
Waziri wa Kilimo mh Bashe ameliambia Bunge timu ya wizara yake itamwita Mwekezaji MO Dewji Ili kujua matazamio yake kwenye mashamba aliyouziwa na Serikali kwa Masharti maalumu huko Korogwe Tanga...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanabodi, Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa...
68 Reactions
189 Replies
18K Views
Biashara yakuuza dola imekuwa na mkanganyiko mkubwa. Mabenki na taasisi za kubadilisha fedha wametangaza hawana dola. Ila yapo maeneo sasa hivi unanunua dola kwa bei karibia na elfu tatu na fedha...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
WALIMU VIJIJINI KUBORESHEWA MAZINGIRA YA KAZI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema Serikali inatambua umhimu wa...
1 Reactions
5 Replies
492 Views
Wanapenda kutumia lugha ya upotoshaji lakini hawasemi ukweli ni upi Yani mtu akiongea kuhusu viongozi Kuendesha kwa kiukoo Au kwa kufanya ufisadi Wanatokea machawa wanasema Anapotosha cha...
1 Reactions
7 Replies
372 Views
Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana. Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao. Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho? Serikali ilipaswa...
19 Reactions
155 Replies
9K Views
Wadau nawasabahi. Naomba ufafanuzi juu ya mishahara ya haya Makundi Mawili katika Kipindi cha miaka 5 tu ili nifanye maamuzi magumu. Kuhusu Mshahara wa Mbunge niorodheshewe stahiki zote anazopata...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom