Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko.
Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki...
Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu...
Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?
Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji...
Wadau naomba kujua, ni chombo gani kipo kisheria kinachowapima wabunge utendaji wao katika kipindi cha Miaka 5 ya ubunge wao au wanajipima wenyewe?
Nataka nipate taarifa za mbunge wangu kama...
Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
Salaàm!
Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Amos Makalla ametetea machawa wa CCM kwamba ni watu wazuri ambao uchawa wao ni sehemu ya Shukrani.
Zaidi soma hapa
===========
leo Jumanne Mei 7, 2024...
Kwanza Kabisa Pascal Mayalla amekiri kwamba yeye ni Mkatoliki aliyetukuka
Pili Father Kitima amekiri kufuatilia JF kila siku akipendelea zaidi Jukwaa la Siasa na lile la Elimu
Father Kitima...
Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto...
Tufike wakati tuseme imetosha sasa.
Jana kwenye kikao cha Bunge nimewanukuu wa Bunge watatu wakililia barabara na wengine kusema, Mheshimiwa Waziri, wananchi tumewafanya kama misukule, hao ndio...
Ni mambo ya ajabu hiki chama cha kuendekeza ufisadi na uongo.
Kuna kasoro nyingi sana za muungano, lakini jambo la ajabu ni kuwa kasoro hizo zikizungumzwa na kiongozi wa CCM basi anashangiliwa...
Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu.
Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Lengo lake lilikuwa kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Zanzibar Kuja Tanganyika na Lengo
Nyerere anatakiwa kupewa nishani ya mvutia wawekezaji...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya...
CHECHEFU MAHAKAMANI TENA
Safari hii ni kampuni ya NAS HAULIERS iliyokopa bilioni 50 ikakataa kulipa na kukimbilia mahakamani ikiishitaki benki iliyofanikisha mkopo
- ikitetewa na wakili yule...
Akiwa mkoani Iringa, Ali Hapi alimjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kufuatia kauli yake ya kuwa Rais Samia hana haki ya kutoa maamuzi ya kinachoendelea bara kwa kuwa yeye ni...
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amesema Serikali itajenga karakana Kubwa ya kisasa ya kutengeneza Ndege mkoani Kilimanjaro
Mradi huo mkubwa barani Africa utasimamiwa na Chuo Cha Usafirishaji Cha...
Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake...
Hebu tumsikilize hapo akiwa Zanzibar Mheshimiwa Lissu, ni dhahiri anaipenda Zanzibar ijitambue na kupata uhuru wake wa kweli badala ya kukubali kutawaliwa na Tanganyika (Dodoma) na kuveshwa...
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.