Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mhe. Tabasamu Hamis, akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Mei 6, 2024 Bungeni Dodoma. " Uwanja wa Dodoma ni mdogo lakini haujaufanya kuwa bize kwa ajiri...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Siku hizi Wabunge ni wajanja sana kabla hawajaulizwa swali kama hili Wao Ndio huanza kumpamba Rais kwamba yeye Ndio alpha and Omega. Nakumbuka Mwalimu Nyerere alipombabatiza na swali hili mbunge...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
Gazeti la mwananchi na vyombo vya habari vya Mwananchi communications ni kama vile vimekuwa compromised. Naona kama vyombo hivi vimepoteza focus na sasa vinakwenda kufanya kazi ya Daily news au...
4 Reactions
8 Replies
671 Views
Ni aibu iliyoje kwa serikali kushindwa kulipa fidia Kipunguni kwa kipindi cha miaka 27 na zaidi. Je, mwenye kustahili kuwajibika Waziri wa fedha, Uchukuzi, TAA au Rais na mwenyekiti wa CCM...
0 Reactions
4 Replies
550 Views
Kutoka mtandao wa X, kizuri Kula na mwenzio, naweka hapa ili wapiga zumari wajifunze Namna ya kumsifia unayempenda bila kujidhalilisha. Kumbuka technology haiongopi. Tunadanganya kwa faida ya...
1 Reactions
9 Replies
824 Views
SHEMSA MOHAMMED (M/Kiti CCM Simiyu ) Atembelea Kaya 413 Zilizozingirwa na Maji Lamadi MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Simiyu Shemsa Mohammed amefika na kutembelea kaya zaidi ya 400 katika vitongoji...
0 Reactions
4 Replies
473 Views
TAARIFA YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. 1. UTANGULIZI Ni historia ya kupigiwa mfano kwa Taifa letu kwamba tunaadhimisha miaka 58 ya Muungano wetu. ambapo nchi mbili huru...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Unaweza kutune Star tv Kipindi linaendelea Kabla ya kulala Unono mtakuwa mmejipatia uhondo Ni Pambalu vs Mtozi 😂
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Akiwa bungeni Dodoma, Ezra Chiwelesa, Mbunge wa Biharamulo ameitaka serikali kuajiri vijana kwa ajili ya kuijibia na kuitetea Serikali pale kunapotokea upotoshaji kwenye mitandao ya kijamii...
2 Reactions
15 Replies
826 Views
Kwanza tuanze kwa kuzungumza kuhusu sheria za mambo ya bahari. Sheria za kimataifa zinasema kuwa kutoka Pwani ya nchi hadi nautical miles 12(22Km)kuingia baharini(1NM=1.85km). Ni eneo la bahari la...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa...
17 Reactions
82 Replies
9K Views
Wafanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewaga na kisha mchukue hatua.. Sasa ona hapa... Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya...
5 Reactions
15 Replies
633 Views
"Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni...
6 Reactions
5 Replies
457 Views
Mara kadhaa Chadema wamekuwa wanawadanganya watu wasioelewa kwamba eti Katiba Mpya ndio muarobaini wa Rushwa na Ufisadi licha ya kina Bob Wine kuwapa somo kwamba jambo Hilo linategemea uadilifu wa...
2 Reactions
159 Replies
5K Views
KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. Na Prisca Libaga, Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Ukitaka Tundu Lissu akae na awe Mpole basi mlete nguli wa sheria Mzee wetu Wassira. Wote Wamarekani hawa Nitajaribu kumtafuta pale Maktaba kwake aje atufungie huu Mjadala wa Muungano Kaa Chonjo...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna askari traffic wawili wa kike ni wasumbufu na kero huko MOSHI MANISPAA. Askari hao wanasumbua hadi magari ya serikali yanayoingia ofisi za mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa Moshi Manispaa. Cha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field...
3 Reactions
88 Replies
8K Views
Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh. James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh. Joseph Selasini Mahakamani katika Kesi aliyofungua Mbatia ya Kumdhalilisha. Katika Kesi hiyo...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
uelekeo makini sana wa Tanzania kama nchi, chini ya chama tawala CCM, ulibainishwa, ulichambuliwa, ulifafanuliwa na kuelezewa kwa kina, kwa kirefu sana kinagaubaga, na kwa umakini na uwazi wa...
0 Reactions
8 Replies
363 Views
Back
Top Bottom