Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni...
Kuna kelele mingi huko Congo zikilalamika Idara ya Uhamiaji Tanzania kukamata na kuzuia wanajeshi wa M23 na viongozi wao akiwemo Eric Nkuba na kuwarejesha kwenye nchi yao.
Vyombo vya habari vya...
Nimelala nimeota wazanzibari wameanza kudai kujitenga baada ya Mama kuondoka madarakani na Mzee Smile amegeuziwa kibao na wadanganyika kuwa yeye ndiye ameifikisha Tanzagiza hapa ilipofikia ( nchi...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26, 1964 ikiwa ni Muungano wa Mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambapo Jamhuri hizi mbili ziliingia...
Nimekuwa Nafuatilia sana Mijadala juu ya UPATIKANAJI wa KATIBA MPYA NCHINI.Miongoni mwa Watu ambao nilitamani kuwasikia WAKIIPAMBANIA KATIBA MPYA ni pamoja na Muanzilishi wa MCHAKATO ule Mh sana...
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UNAVYOZIDI KUWA WA KIPEKEE NA MFANO WA KUIGWA DUNIANI KOTE.
Na Bwanku M Bwanku.
Kila ifikapo Aprili 26 kila mwaka, Tanzania huadhimisha siku Maalum ya Muungano...
Narudi nyumbani baada ya Hustles za hapa na pale. Naombeni wenye uelewa kuhusu Hili jambo mnifahamishe. Je, Kuna uwezekano wa KUHOJI uhalali wa MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBAR MAHAKAMANI?
Siku haipiti bila kusikia malalamiko juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioanzishwa kwa shinikizo la Marekani na tamaa ya madaraka ya Abedi Amani Karume na genge lake la mapinduzi. Je huu...
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi.
Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015...
1.Tundu Lissu
Majimbo ya uchaguzi yagawanywe kulingana na idadi ya watu, sio jiografia au matakwa na maslahi binafsi tu ya watawala kama ilivyo sasa. Mkoa wa mtwara wenye wapiga kura laki tisa una...
Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake.
Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk...
Inashangaza sana kuona CCM haitaki kabisa kuendeleza mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya katiba inayohitajika sana na wananchi. Mchakato huu ulianzishwa na mwenyekiti wa CCM wa awamu ya 4...
Kwenye maisha ukilazimisha fani ambayo sio yako lazima upate tabu sana. Ni wachache sana waliowahi kulazimisha na wakatoboa. Kwa mfano kuna mtindo wa kijana akiwa kazaliwa mrefu basi inaaminika...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimesema kitaendelea kuwatetea na kuwasimamia wachimbaji wadogo ambao wanaonzisha migodi midogomidogo ili waweze kunufaika kutokana na kuanzisha maeneo...
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.
Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana...
CHADEMA imedhihirisha kuwa inachukia matendo maovu, na kwenye uovu wamedhihirisha hawana subira wala simile, hawaangalii anayefanya hilo ni wa chama chao au mtu wa nje.
CHADEMA imejitofautisha...
Taarifa iliyotolewa na Mabere Makubi kutoka Mwanza, inaeleza kwamba, Mtukufu Kagulumujuli ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji hilo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutokea Wilaya ya Kinondoni, amefungua...
Taarifa mpya inaonyesha kwamba, Baada ya Maandamano ya Wiki nzima ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za uchaguzi, yaliyoandaliwa na Chadema kwenye baadhi ya maeneo kufanikiwa kwa 100%...
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe.
Aidha Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.