Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wengi tuliojikita katika mitandao ya kijamii tunausikia na kuusoma tu lakini hatujui kwa nini waliungana? Hatutafakari hayo lakini kwa kuwa sisi tumezoea...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwa wale wenye access na Channel Ten, watch kipindi cha Hamza Kassongo Hour, Jaji Mark Bomani, anazungumzia mambo mbalimbali kuhusu nchi yetu. Amezungumzia suala la muungano lazima lijadiliwe kwa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania. Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na...
16 Reactions
94 Replies
5K Views
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano. 25 Aprili, 2024. Dar es Salaam.
1 Reactions
1 Replies
455 Views
ASKOFU AELEZWA NA 'RAIA MWEMA' KUHUSU NJAMA ZA KUHUJUMU UCHAGUZI MKUU! Baba Askofu Mwamakula! Nimekutafuta sana. Nimeingia gharama kubwa kuhakikisha nakueleza haya chini ya kiapo. Mimi nipo...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Katiba ya Chama iko wazi. Inapofika wakati wa uchaguzi mkuu wa Urais Madiwani na Wabunge basi ndani ya chama kila mwenye sifa anaruhusiwa kuchukua form na kugombea. Endapo kama ana viwango na...
3 Reactions
22 Replies
773 Views
UNAPOPATA NAFASI YA KUWA KARIBU NA KIONGOZI/ MTU ANAYEKUZIDI KIPATO/ MAARIFA/ DARAJA/ CHEO, ZINGATIA HAYA Na Comrade Ally Maftah Ukitaka kufanikiwa ni lazima ujenge ukaribu na watu kadhaa...
4 Reactions
14 Replies
656 Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024.
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika muendelezo wa kile waziri wa ardhi Jerry Silaa anachokiita kliniki ya ardhi na kutatatua changamoto za ardhi ameendelea kupuuza kabisa documents/nyaraka halali za serikali na mahakama za...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
SERIKALI KUJENGA MAABARA YA KISASA YA UPIMAJI WA SAMPULI ZA MADINI NCHINI - Waziri Mavunde aitaka GST kuwa sehemu ya kwanza ya taarifa sahihi za maabara. - Maabara kuwekwa vifaa na mitambo ya...
0 Reactions
1 Replies
304 Views
Kitambulisho cha Uraia kwa kila Mtanzania ni kitambulisho kinachotakiwa kutolewa pale tu Mtanzania huyo anapozaliwa. Na uhakika gharama ya Kitambulisho hiki kinatakiwa kilipiwe na Serikali...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Changamoto ya upatikanaji wa mafuta na athari za matumizi yake ilipaswa kutumika kama sababu msukumo kwa Serikali kuongeza kasi katika kuhakikka taifa letu kutumika Nishati mbadala ambayo...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia...
29 Reactions
333 Replies
59K Views
Hii dharau kwa watumishi wa umma imezidi. Yaani wazri mkuu unasimama kueleza umma eti wanaolalamika ongezeko dogo la mishahara ni mawazri, wakuu wa mikoa na wakurugenzi!!!. Umetukosea sana...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya...
0 Reactions
504 Replies
63K Views
Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama . Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi...
14 Reactions
36 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi. Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024. ===== Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
31 Reactions
273 Replies
20K Views
Tumemsikia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akitoa taarifa bungeni Leo, kuwa mafuriko hapa nchini kote, tokea mvua za masika za mwaka huu zianze, yamesababisha vifo vya jumla ya watu 155! Hizi...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam. Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro...
10 Reactions
64 Replies
5K Views
Kuna muda inakupa wakati mgumu kujua kama wako Serious. Yametokea Mafuriko Rufiji, wakatuma Kada wao akawadanganye Wana Rufiji kudai dida, alichokipata hawatakisahau. Yametokea mafuriko Arusha...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Back
Top Bottom