Majimbo yafuatayo hakuna wabunge hadi ila tume ya uchaguzi haiwezi kufanya chochote hadi 2025.
1. Mbeya Mjini
2. Moshi Mjini
3. Kibamba
4. Kawe
5. Nyamagana
6. Ilemela
7. Shinyanga town
8. Kaliua...
Ili kuishi comfortably kwenye mazingira ya kidemokrasia, ni sharti uwe mwenye uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu maana halisi ya demokrasia yenyewe. Zaidi sana yafaa, ufanye mazoezi ya mara kwa...
USHUPAVU WA PAUL MAKONDA UNAMFANYA KUWA KIUNGO MUHIMU KATIKA CHAMA, KOCHA ANAMCHEZESHA POPOTE
Na Comrade Ally Maftah
Mimi ni shabiki mkubwa wa aina za siasa anazofanya Paul Makonda, naweza...
Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa.
Hapa nilipo ni matokeo...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 2, leo Aprili 3, 2024 Jijini Dodoma.
https://www.youtube.com/watch?v=O1YezC6BSRo
Mrisho Gambo, Mbunge wa Arusha ameuliza...
Wananchi wa Arusha wameingia mitini kumpokea RC mpya. Hii siyo Ishara nzuri kwa kiongozi anayependa kuabudiwa. Vyombo vya habari vilijiandaa kurusha live msafara wake lakini wamekwama kwa...
Kuna video zimerushwa mitandaoni zikionyesha mashabiki wa Yanga wakimtukuza Mama Samia kwa nderemo , nyimbo na vifijo , kiasi cha kuwashangaza hata wenyeji wao , Yaani kama vichaa wamelipuka...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WENGINE WATANO WAMEHUKUMIWA MIAKA 30, JELA LEO
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 15.12.2023, imewahukumu Masheikh watano kifungo cha miaka thelathini...
Wakuu natanguliza salamu , poleni kwa Ugumu wa Maisha unaowakabili nchini Tanzania kwa sasa , , basi baada ya pole hizo naingia moja kwa moja kwenye mada
Ile siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na...
Kama ulidhani suala la Mapokezi ya Nabii Godbless Lema ni suala dogo basi kajipange upya.
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba tayari baadhi ya Vigogo wa Nchi wameanza kumiminika Arusha...
Nafahamu Arusha ni mji wa kitalii, Dkt. Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) ameamua kwa makusudi kuipendelea Arusha hata akamtoa mwanaye wa pekee (Paul Makonda) ili aje...
Nimeona Makonda anaeleza kwamba amenusurika mara tatu kuuwawa; nimeona pia amekataa gari aliyoandaliwa kwenye mapokezi yake. Nimeona ameanza kukataa kupewa viwanja nikajiuliza wakuu wa mikoa...
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni...
Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence
Simhukumu...
Badala ya kua wakosoaji wakuuu na wabunifu kimawazo, mipango na mikakati mbadala wa kinacholalamikiwa na wanainchi, wao sasa ndio wamekua sehemu ya walalamikaji mahiri na hodari, na sasa...
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.
Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa...
Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya...
Spika wa Bunge mstaafu, Pius Msekwa amesema mtu asiyependa Muungano wa Tanzania akajinyonge.
Msekwa ametoa kauli hiyo leo Jumanne Aprili 26, 2022 wakati akiwasilisha mada kuhusu hatua mbalimbali...
Tunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya...
RC Sendiga atoa maelekezo miradi inayotekelezwa Mirerani
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo mapema akiwa kwenye ziara yake katika Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro, amemuagiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.