Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Mbunge wa #Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Tsh. 2,000 kila Mwezi kwenye laini za simu...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Katavi aliyetumbuliwa jana na Mh. Samia Suluhu bibi Catherine Mashalla haikutolewa sababu, lakini kumbe ana kesi ya uhujumu uchumi na alikuwa sero mpaka wiki iliyopita ndio amepata...
8 Reactions
98 Replies
6K Views
Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima. Tunasubiri...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
HARAMBEE YA MBUNGE YAFANIKISHA UPAUAJI WA MADARASA YA SHULE SHIKIZI KIUNDA YA MUSOMA VIJIJINI Tarehe 12.1.2024 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo aliendesha HARAMBEE...
0 Reactions
5 Replies
487 Views
Baada ya ujio wa Makonda nimeshudia mambo mengi na mengine yataendelea kutokea kama ifuatavyo. 1. Mji umechangamka, kila mtu anataka kusikia kauli ya mkuu wa mkoa. 2. Wakuu wa mikoa mingine...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi natoa ushauri kwa Raisi Samia asisite kwenye swala la katiba kwasababu zifuatazo 1. Akisita wasiopenda katiba kwa manufaa binafsi kama mzee wetu mstaafu wa awamu ya 4 watapa mwanja wa...
5 Reactions
6 Replies
464 Views
Ndugu zangu Watanzania, Niliandika humu jukwaani hata wiki moja haijapita kuwa Arusha wamepewa upendeleo wa kipekee,wamepata bahati ya kipekee na neema ya aina yake kupelekewa na kuongozwa na...
10 Reactions
48 Replies
3K Views
🗓️08 Aprili, 2024 📌HQ Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa chini ya Mwenyekiti wake Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) katika Mwendelezo wa Utamaduni wa UVCCM ya kuishi karibu...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Hivi majuzi Mheshimiwa Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya mchapakazi, akiwa Morogoro alitoa taarifa kwamba hospitali za rufaa za mikoa zinakusudiwa kuhamishiwa Wizara ya Afya, toka mamlaka ya TAMISEMI...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Waziri ardhi, William Lukuvi leo tarehe 16 Februari 2021 amefika fukwe za Coco Beach akakuta kuna ujenzi unaendelea. Akaagiza kusimamishwa kwa ujenzi na kubomolewa kwa uzio huo kwa kua fukwe za...
31 Reactions
105 Replies
15K Views
DUA YA KUMUOMBEA RAIS DKT. SAMIA NA FUTARI KWA MAKUNDI YENYE UHITAJI 📍Msikiti wa Gadaffi | Dodoma 09 April 2024 Jumuiya ya Umoja wa wanawake wa Tanzania (UWT) chini ya Mwenyekiti wake Ndugu...
0 Reactions
1 Replies
349 Views
Upotoshaji wa taarifa wakati wa uchaguzi unaweza kuathiri masuala ya kijinsia kwa njia kadhaa: Kueneza Habari Potofu Kuhusu Wagombea wa Kike: Wakati mwingine, habari potofu zinaweza kutolewa...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 ungekuwa kesho; ni Mbunge yupi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (wa sasa au aliyestaafu) ambaye ungependa awe Mbunge kwenye Jimbo unaloishi? Kama yupo mtaje...
0 Reactions
2 Replies
333 Views
Waasi hao walalamika kuwa Bwana Eric Nkuba alikamatwa katika uwanja wa JK International Airport Dar es Salaam. Mamalaka za Tanzania zilimkabidhi jamaa huyo kwa mamlaka za DRC na huko jamaa...
8 Reactions
89 Replies
11K Views
Kwenye kikao hapo mjengoni nimesikia jambo linalotia mashaka sana juu ya haki ya kuishi kwa wananchi. Ebu msikilizeni Naibu Spika anavyotoa vitisho kwa Mbunge mwenzake. Hivi spika ana haki ya...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
https://youtu.be/aGuiTB1XX_0?si=sFKk6zISM0uq2XBb Wakati maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025 yakiendelea, Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesema makundi mawili...
1 Reactions
2 Replies
528 Views
Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Nashindwa kuzuia hisia zangu katika kutabiri kazi atakazofanya Mh Paul Makonda (Katibu wa Uenezi na Itikadi Mstaafu) mkuu wa mkoa wa Arusha. Paul Makonda...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Kweli tunaweza kuwa na wakuu wa mikoa wasiojua pasipoti zinaprintiwa wapi? Au tunajua lakini tunafanya kick za kisiasa? Kwamba leo Mnataka kutuaminisha kwamba Ofisi ya Uhamiaji Arusha inatoa...
13 Reactions
38 Replies
3K Views
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa...
34 Reactions
166 Replies
8K Views
Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona...
1 Reactions
5 Replies
464 Views
Back
Top Bottom