Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote...
14 Reactions
97 Replies
8K Views
Hospitali kubwa na ya kisasa kupita hata hospitali ya KCMC ya kanda ya Chato imefunguliwa rasmi na kuanza kutoa huduma bora kabisa kwenye ukanda wote wa maziwa makuu. Kumbuka maendeleo ya Chato...
14 Reactions
148 Replies
45K Views
Nilijiuliza sana ina maana pamoja na makelele yote hayo hata ndani ya Chadema hawamwamini makamu mwenyekiti wao? Sasa huyu Lisu anaamika wapi maana hata kura za urais alipata kura chache sana mkoa...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Mh. Rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuua viongozi wa...
9 Reactions
109 Replies
10K Views
Mwenzetu huyu amejipa kazi ya kupiga domo na kukosoa kila kitu kinachofanywa na watawala, kwake yeye hakuna jema hata moja liliofanyika hapa nchini! Kutwa kuongeaongea tu kwenye makongamano bila...
15 Reactions
192 Replies
12K Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 5, leo Aprili 8, 2024 jijini Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=RWUrwI58Nt4 Mbunge wa Musoma Mjini (CCM) Vedastus Manyinyi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimekutana na wazee wenye heshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa Serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu eti kwa kigezo cha kuwapa kidogo kidogo kustaafu...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha. Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi. Kuna hili la hovyo...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
1 September 2020 Dodoma, Tanzania Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao" Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi...
14 Reactions
120 Replies
16K Views
Hii Taasisi ilikuwa imara sana enzi za mwalimu Nyerere na mwisho kabisa kwa Mkapa,baada ya hapo imekuwa Taasisi ya kisiasa. Inafanya kazi kwa maslahi ya wanasiasa na siyo Taifa na ndiyo sababu...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Linapotokea jambo la Kitaifa, liwe janga au jambo lolote lenye maslahi ya kwa Watanzania wote, siku zote Watanzania tumekuwa wamoja kwa kuweka itikadi na tofauti zetu kisiasa pembeni. Wilaya ya...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau poleni kwa kazi. Nikienda kwenye hoja ya msingi, Ijumaa iliyopita bungeni, Mbunge wa Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Ahmed Shabiby akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
1 Reactions
6 Replies
985 Views
Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha mbunge wa Jimbo la Kwahani, Zanzibar Ahmed Yahya Abdulwakil ambaye amefariki ghafla kwa shinikizo la damu. Dkt. Tulia amelazimika...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Akizungumza na Dailynews digital, Dk. Tulia amezungumzia suala la rushwa kwenye kamati za bunge na kusema kuwa ufanyaji kazi wa kamati hizo hautoi mwanya wa rushwa Wabunge hawafanyi kazi peke...
0 Reactions
3 Replies
502 Views
Hili ni eneo lile lile na watu walewale, Ya Juu akiwa Mwenezi, Ya Chini akiwa RC mtoto mpendwa wa mama Tafakari mwenyewe
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
1. Wale mahasimu wa vita Gaza wana siku 2 za kuleta mrejesho: 2. Inajulikana tambo "kupigana kama ngoma" hazitakosekana: 3. Si ajabu kwamba Natenyahu angedai washirika wake wamshike au...
1 Reactions
57 Replies
2K Views
Siku kama ya leo miaka 10 iliyopita timu ya Serikali ikielekea mjini Maputo kwenye kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi. Kutoka kushoto Hamza Johari (mwanasheria), Patrick Tsere...
14 Reactions
68 Replies
5K Views
Wanabodi, Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is...
17 Reactions
356 Replies
57K Views
Back
Top Bottom