Miaka ya karibuni kumezuka matukio kadhaa kwa serekali kushindwa kuendesha mashirika yake na imepanga kuwapa wageni, ili ni kosa instead serekali iajiri foreigner ambao wana exposure na sio hawa...
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni...
Majuzi taarifa zilijitokeza kuhusu kupata mwendeshaji wa mradi wa mabasi ya mwendokasi na idadi ya makampuni ya nje na mawili ya ndani yaliyojitokeza kuingia kwenye mchakato... lakini siku mbili...
Sakata la waziri wa michezo na serikali yake dhidi ya mashabiki wa mpira mbali na kutikisa mahusiano ya kidiplomasia yameiweka serikali njia panda kwa kuingilia Uhuru wa michezo hususani mpira wa...
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani? Haya mabasi ya mwendokasi tu haya yamewashinda serikal? Yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi tu yaani imeshindwa...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe, Abdulaziz M. Abood asikitishwa na kuendelea kwa mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wa mtaa wa Kidondolo na Mamlaka ya Chuo Kikuu cha Sokoine {SUA}, ambao...
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo.
Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana...
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi...
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo...
Makonda katika sherehe za kuipokea ndege mpya ya ATCL (BOEING 737-9 MAX) jijini Dar; amekemea tabia inayoonekana kuanza kukua na kukomaa kwa baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ngazi mbalimbali ya...
Miradi ya kimageuzi inaendelea kwa kasi chini ya uongozi imara wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.
NB Hii miradi yote ni ya mwendazake. Yeye tutamkumbuka kwa lipi??
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa Bodi ya kampuni tanzu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na...
Na wala hakuna aliyewahi kukamatwa achilia mbali kufungwa , hili ndilo linawafanya viongozi wa ccm kulogana kugombea Vyeo kwenye matawi na kata , huwa wanalambishwa hizi heka hata kama ni kidogo...
Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa.
Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema...
Habari Tanzania!
Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea.
Kiukweli wananchi...
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo.
Inasikitisha sana.
Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.
Hii ni kinyume kabisa Mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, ameagiza kufuatiliwa kwa marejesho ya mikopo ya Halmashauri inayotolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu huku ripoti zikionesha tangu mikopo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kutambua kazi kubwa na nzito inayofanywa na Rais Samia, Uchapa kazi wake wake,uzalendo wake,ukarimu na uungwana wake, unyenyekevu na kujitoa kwake kulibeba Taifa letu...
Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina.
Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.