Si vibaya kuinyoshea kidole pale kunapokuwa na shida.
Kumekuwa na kasumba ya vijana wengi hawasomi mambo badala yake wanakosoa, kutukana na kulaumu bila hata kuchambua hivyo wanavyo ona havijakaa...
Wadau nawasabahi.
Serikali ilisema inakabidhi bandari kwa wawekezaji ili kuleta ufanisi baada ya viongozi wazazi kushindwa kuiletea ufanisi.
Serikali hiyo hiyo imekabidhi Mwendokasi kwa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, tarehe 28 machi, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ubelgiji Nchini Tanzania Balozi Zsolt Meszaros na ujumbe...
Rais Samia amesema Ripoti za CAG zinafanyiwa Kazi na watu wanaokwenda kurekebisha makosa ndio sababu kuna Ongezeko la Hati Safi
Rais Samia amesema 99% ni Hati Safi na 1% tu ndio Hati chafu...
Ni kubwa sana kiumbo, ikiwa kwenye hadhira,
Ni Mamba kama wa Mombo, Sema ye hana madhara,
Yakichambuliwa mambo, yatakutia hasira,
Mamba huyu mamba gani, mbona hawezi kung'ata?
Hukaa kimya...
Hii ni wazi kuwa NHIF iliyopo sasa inafanya siasa zaidi kuliko kujali Afya za watanzania.
NHIF walianza kutoa toto kadi bila ya utaratibu au option watoto wa masikini watatibiwaje?
Asilmia 90...
Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu
1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi...
Tarehe 29 Machi, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022. Ripoti...
Wanasiasa wenye mvuto na ushawishi kwa jamii chukueni tahadhari. Wapo watu wameletwa Duniani kuongozwa ila wanatamani kuongoza.
Kipindi hiki hali ya tamaa uwaka sana mioyoni mwa wanasiasa. Malipo...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, tarehe 28 machi, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya nje wa Hungary Bw. Peter Sziijarto na ujumbe wake katika...
Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema...
Kuna mtazamo ambao umejengeka kwamba Serikali Haina lengo la kutengeneza faida bali kutoa huduma, mtazamo huu Kwa uono wangu hafifu nafikiri ndio chanzo kikubwa Cha baadhi ya mashirika kushindwa...
Kuna mambo yananishangaza sana kuhusu serikali ya Tanzania.
Hili la serikali kumzua Mo asifunge viwanda vyake vya chai vilivyojifia limenishangaza sana. Bado sijapata mantiki kabisa.
Kama lengo...
"Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo."
Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar...
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa
Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua.
===
"Mimi nimepata wasaa wa...
Shirika la umeme Tanesco limekuwa likihujumiwa na watendaji wake Kwa maslahi binafsi na ya Kisiasa Ili kuikomoa Serikali.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na NWM Dotto Biteko baada ya...
Wakuu, andiko hili ni fupi sana na nimatumaini yangu Mungu anabariki popote mlipo.
Leo nipo na ujumbe kwa Rais wa Zanzibar, na kabla ya ujumbe, kwanza nimpe pole kwa kuondokewa na baba mzazi...
Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili.
Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula...
Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria Dar es Salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu...
Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana.
Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.