ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike.
Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mbunge wa Simanjiro Mheshimiwa Christopher Ole Sendeka akizungumza na ayo kwa njia ya simu amesema ya kuwa kujibu mapigo kwa risasi kutumia bastola yake kumemsaidia kuokoa...
Wakuu,
Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali.
Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu...
Habari ya Jumamosi.
Ninayoheshima kubwa kukuandikia mama kukuambiatu kwa ufupi sana.
Mama wewe haya yanayofanyika unayaona na unajua mengi kuliko sisi raiya wako. Hilo lipo wazi
Ninachoweza...
Mzuka wanajamvi!
Kati ya marais wanyenyekevu, honest, waelewa, wawazi na wenye hekima ni rais wetu wa Jamhuri ya muungano Tanzania Dkt Samia Hassan.
Nampongeza kwa kuwa muwazi na kuweka wazi...
Kwa sauti ya unyenyekevu kabisa niiombe serikali iwe na huruma kwa wananchi wake.
Nia ya kuanzishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na bima ya afya ya taifa ni njema. Ila kinachoendelea...
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...
Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia January linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na siyo Watu wote.
Awali Waziri wa Mazingira Dr Jaffo...
Salaam,Shalom.
Nadhani swali linajieleza.
Kwamba Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini?
Ikiwa Ina dini, dini Gani?
Na issue ya mtu KUFUNGA ni Tendo la Siri au la hadhara?
Karibuni🙏
Napongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar KULAANI waliojichukilia sheria mikononi wakidai kupiga marufuku kula adharani
Ningependa pia yule mtalii aliyetuzwa fedha arejeshewe fedha zake na wale...
WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
KAULI YA SERIKALI KUHUSU HOJA YA KUTOONEKANA KWENYE MATUMIZI YA SERIKALI SHILINGI TRILIONI 1.51
UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa Kanuni ya 49 ya Kanuni za...
Kutoka katika gazeti la TZD,mtu mmoja ameoandishwa kizimbani kwa kosa la kumuhusisha Rais Magufuli na sakata la upotevu wa sh trilioni 1.5/-
======
MFANYABASHARA, Henry Munisi (30). Mkazi wa...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama...
Kimenuka! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mvutano mkubwa uliotokea Bungeni Dodoma leo na kusababisha mwenyekiti wa Bunge, Najma Giga kuchemka kuliongoza bunge na kurudisha kijiti kwa Spika...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad, amesema ataitikia wito wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Januari 21, mwaka huu, kama...
WANA LUDEWA WASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA RAIS SAMIA,DC AANDAA FUTARI YA PAMOJA
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva,ameungana na wananchi wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe katika Dua...
Niaje waungwana
Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia.
Kila alipopelekwa alionesha...
Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika...
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.