Jumuiya imetoa wito kwa CHADEMA kuacha mara moja mpango wao wa kufanya kuandamana katika mikoa mbalimbali hususani katika kipindi hiki ambapo taifa lipo katika majonzi ya kuondokewa aliyekuwa...
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda amefika wilayani Tarime kufariji Familia ya Ndg. Christopher Gachuma (MNEC) kwa kuondokewa na mkewe Ndg. Fransisca Gachuma, tarehe 29 Machi, 2024...
Habari,
Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani...
Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .
2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa...
Kuna watu wamezaliwa na bahati ila capacity na creativity hakuna. Watu kama Makonda wanachoweza nikudhalilisha wengine siyo kufanya kazi. Maisha yao yote wanaamini wao wanapaswa kuongoza na...
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza...
Wanabodi, Salaam!
Paul Christian Makonda anaposimama kutoa maelekezo tusimhujumu au kumchukulia tofauti.
Msimamo anaoutoa siyo wa kwake - ni msimamo wa taasisi yake iliyompendekeza na kumteua...
Waungwana wa JF nawasalimu,
Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda ametoa maagizo ya chama kwa waziri wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa kumsimamisha kazi...
Serikali imewahakikishia majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, kuwa inafanyia kazi maoni na mapendekezo yao kuhusu maboresho ya Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi.
Waziri wa Nchi...
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla Leo amefuturu futari ya tsh 2500 tu akiwa safarini Mikumi
Kigwangalla amesema maisha ni rahisi sana ukiwa simple...
Siyo rahisi kuwatumia Kadi mmoja mmoja hivyo nawaomba mzipokee tu salamu zangu za Pasaka kupitia Uzi huu
Itikadi ni Njia tu kutafuta maendeleo kwenye jamii lakini sisi ni Wamoja
Mungu wa...
Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani!
Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya...
Kuna zoezi linaendelea nchi nzima kwa wastaafu kuripoti ofisi za NHIF zilizo karibu yao ili wabadilishiwe kadi zao za bima ya afya.
Nilipokea taarifa hii juzi kabla hata ya ripoti ya CAG kuhusu...
TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza.
Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
Sifurahishwi na ubadhirifu unaoonyeshwa kwenye ripoti za CAG wala siutetei kwa namna yoyote ile
Lakini nataka kusema tuache siasa na unafiki, ama hata ripoti za CAG zinaweza kuwa zinatolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.