Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
DAKIKA 31:49-37:50 https://www.youtube.com/live/HcjWmHNQ9wQ?si=zi7ImpuRnAjBicwy Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa...
8 Reactions
43 Replies
7K Views
Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul. Cc. Mbunge Mstaafu,
6 Reactions
51 Replies
5K Views
Tanzania inaendelea kubakia nyuma wakati mataifa mengi ya kiafrika yakipiga mwendo kwenye Demokrasia ya kweli. Tanzania hakuna Demokrasia ya kweli isipokuwa kuna kiini macho cha Demokrasia au...
12 Reactions
31 Replies
1K Views
Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake. Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo...
9 Reactions
68 Replies
8K Views
Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana? Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika. Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI...
9 Reactions
41 Replies
6K Views
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara. Katika...
11 Reactions
89 Replies
8K Views
Umesikika katika hotuba yako ya leo kuwa utawarukia mawaziri na wakuu wa mikoa. Nakutahadharisha wewe ni kama Ahmed Ally wa Simba au Ali Kamwe wa Yanga, huna nguvu ya kujipangia unachotaka. Una...
26 Reactions
125 Replies
14K Views
Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya...
14 Reactions
100 Replies
4K Views
Katika kipindi hiki cha miaka mitatu Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameteua na kupendekeza makatibu wa Itikadi na Uenezi ambao walithibitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
2 Reactions
8 Replies
685 Views
Kwanza kabisa mikakati yangu ingekua ni kuifanya Taifa starts ijitegemee kwa kujiingizia kipato chake yenyewe. Ningefanyeje kufanikisha hilo ningeomba bajeti kwaajili ya Taifa stars ijenge vyuo...
2 Reactions
27 Replies
810 Views
Waandishi wa habari tangu wamsongesonge Yesu Kristo Ili kumtia mtegoni na hatimaye hatiani wamekuwa Watu wa ajabu ajabu Sana Baada ya mwandishi wa TBC kusema Meli ya Hapa Kazi Tu itakwenda pia...
2 Reactions
9 Replies
633 Views
Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi. 1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori. Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
This man is intelligent, smart and eloquent. Once mama appoints him to fill this post, she will rest a bit and see things moving.
0 Reactions
4 Replies
571 Views
Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia...
1 Reactions
5 Replies
926 Views
Mkutano wa hadhara upo Geita, mhutubiaji mkuu ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda. Mara,Makonda anaagiza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, apigiwe simu. Halafu, Makonda...
16 Reactions
23 Replies
2K Views
Tumeonya humu JF na kwingineko mara nyingi sana kwamba , ndani ya ccm vyeo vya kuteuliwa ni vya muda mfupi sana , kuna haja kubwa sana ya nyie Wateule kuwa na adabu na heshima kwa watu wengine...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli. Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo...
8 Reactions
13 Replies
959 Views
Wanabodi Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la...
7 Reactions
13 Replies
671 Views
Back
Top Bottom