Sasa mtu anateuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha wewe unamchukulia poa
Hao Wasanii wote wa CCM Upako wanaenda kuchukua Arusha kwa Mitume iwe Wakristo na hata Waislam
Kijana kapelekwa Arusha...
Sababu zangu ni hizi:-
1. Wamefikisha umri wa kustaafu, hivyo wakalee wajukuu zao.
2. Wanaziba nafasi za vijana.
3. Wao ndiyo wamelifikisha taifa hapa lilipo Sasa wanagombea ili iwe Nini tena...
Akizungumza leo wakati wa ibada ya Pasaka, iliyofanyika Kanisa la Watakatifu wote jimbo la Mtwara manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara,
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala, akiwa...
Wakuu,
Mtando wa ClubHouse umezuiwa kupatika nchini toka mwaka jana (2023) mwanzoni, ambapo huwezi kupata kupata huo mpakata utumie VPN.
Hii ni ukiukwaji wa haki ya kujieleza na kupata kupata...
Uongozi ni mgumu sana na kamwe hakuna kiongozi anayepatia kuongoza kwa asilimia mia moja
Kinachofanya uongozi kuwa mgumu ni kuruhusu washauri wengi walioko nje ya mfumo rasmi wa ushauri
Kiongozi...
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.
Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia...
Askofu Dr Malasusa amesema katika Pasaka hii Moyo wake umesikitika kuona na kusikia TENA watanzania wanawindwa kwa risasi
Sote tumesikia ndugu yetu Ole sendeka ameshambuliwa kama Mnyama, amesema...
Kitu kikubwa nilichogundua ni kuwa, Namna pekee ya Kuyaokoa mashirika ya serikali yanayo andamwa na hasara kubwa ni namna ya kupata waendeshaji wawajibikaji.
Imekuwa ni kawaida sana Kipindi hiki...
Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na...
Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote.
Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima.
Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
Sijui bado ni mtoto kijana au kutokujielewa kwa umri japo tunasems kwenye Siasa hakuna adui wa kudumu huyu makonda alitakiwa sjishtukie kidogo kuangalia kushoto na kulia kwake mbele na nyuma...
Sichangii chochote angalia mwenyewe
"Kasi ya ubinafsishaji/ugenishaji wa rasilimali za taifa inatisha. Ubinafsishaji kiholela ni ufujaji wa mali ya umma= uwizi wa jasho la wazalishaji.Tujifunze...
Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge
Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .
Kiukweli hii Nchi...
Kwa namna Mhe. Rais anavyowatumbua wale aliowasifia siku chache tu baada ya kuwasifia natoa rai wa wateule wa Mhe. Rais kijitafakari.
Tarehe 4/4/2024 wakati anaapisha viongozi wapya atamsifia...
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiwa na Ndg. Issa Haji ussi Gavu Katibu wa NEC- Oganaizesheni na mlezi wa Jumuiya za CCM pamoja na Mwenyekiti Jumuiya ya...
Kutoka kwenye Ukatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha. Je cheo cha Paul Makonda hapo kimepanda au kimeshuka?
Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Gambo ambaye Kwa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.