Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mimi, viongozi na wanachama kadhaa Jimbo la Kigoma Mjini ambao ni mgombea wetu udiwani kata ya Kasingirima ndug. Alumbula Khalidi, Alhaji Mzee Selemani Simba, Ntakije Ntanena na Khamis Mzungu...
11 Reactions
47 Replies
3K Views
HAKIKA ukitaja jina la Mustafa Jaffer Sabodo, siyo geni masikioni mwa Watazania wengi. Hii ni kutokana na mchango wake kwa jamii katika kuliondoa taifa kutoka sehemu moja ya chini kwenda juu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 126 au Dola Milioni 50 eti za Kuimarisha Makusanyo na mfumo wa Manunuzi wa Umma. == Katika taarifa hii, Benki ya Dunia imeidhinisha Dola za...
3 Reactions
18 Replies
643 Views
Kuna jambo linampasa Rais aangalie kwa makini kuhusu hii timu yake inayomsaidia yaani mawaziri. Sasa hivi Waziri akisimama kuzungumza au kuandika makala, robo tatu ya maelezo yake ni kumsifu Rais...
3 Reactions
14 Replies
534 Views
Wanaendelea kupotosha kwamba mkataba huu hauna ukumo, sio kweli! Mkataba huu una ukomo; ibara ya 23 ibara ndogo ya 1 inasema wazi ukomo wa mkataba huu; itakapotokea moja katika haya mambo mawili...
9 Reactions
133 Replies
12K Views
Endapo Chadema wataacha Njaa zao basi Wana nafasi ya kuongoza nchi hii Tanzania kunako 2030 Nasisitiza endapo wataacha Njaa zao za Fedha na Madaraka Kutikisika kwa Israel, Marekani, Russia na UK...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameiandikia barua Ofisi ya Bunge kuiomba isimamishe kumlipa posho zake zinazotokana na vikao vya Bunge kuanzia juzi. Zitto ametoa ombi hilo kwa barua rasmi...
7 Reactions
804 Replies
72K Views
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo...
39 Reactions
82 Replies
6K Views
Patrobas Katambi, Naibu Waziri, Mbunge wa Shinyanga mjini anaweza kuwa mwanasiasa anayeongoza Kwa kutetea formula mpya ya kikokotoo cha mafao ya Wastaafu kilichoanza miaka 2 iliyopita. Watumishi...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanabodi, Nimepokea tetesi kuwa chama kimoja cha siasa hapa nchini Tanzania, kimepokea ushahidi usio tia shaka juu ya tuhuma za usaliti zinazomhusisha mmoja wa viongozi wake wa juu, hivyo...
6 Reactions
192 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala Aliyewahi kuwa waziri wa utalii na maliasili pamoja na kuwa naibu waziri wa Afya chini ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu kama waziri wake,kupitia...
5 Reactions
70 Replies
3K Views
Nimelisikia hili likilalamikiwa na ACT WAZALENDO maeneo mbali mbali kulikofanyika Uchaguzi mdogo wa udiwani Jana March 20, 2024. Nimesikia Kata ya Kasingirima Kigoma, imesemwa Kwa uwazi Kata ya...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Bila shaka serikali imefanya jitihada kuhakikisha wananchi wake tunapata huduma ya umeme yenye uhakika!🫣🫣 Tumezika msamiati wa Mgao wa Umeme ila bado tunaendelea kutumia Misamiati ya Kuzima...
1 Reactions
3 Replies
426 Views
Hili taifa linaangamia kwa ujinga, na ina hitajika uwe na akili ya ukichaaa kuamini kwamba Walimu wanao ishi life gumu sana, mishahara haitoshi, hawana posho, ila wao ndio wako mstari wa mbele eti...
17 Reactions
67 Replies
3K Views
Bado Miradi ilioanzishwa wakati tumepata Uhuru na kuendelea ni mingi sana nchi hii ukilinganisha na sasa hivi. Ila chakushangaza wakati huo wa utawala wa Baba wa Taifa hakuna hata project moja...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Moja ya ahadi ya Mhe. Chege tulipomchagua alituahidi kuwa katika miaka yake mitano atahakikisha barabara hii inakamilika kwa asilimia mia moja. Ujenzi wa barabara ulianza mwaka 2005 na mpaka sasa...
2 Reactions
8 Replies
730 Views
Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu. Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi...
21 Reactions
225 Replies
8K Views
Ukisha kuwa na fikra mbadala nchini mwetu basi utachukiwa sana na wakalia kiti cha enzi na vibaraka wao. Utafanyiwa fitina, manyanyaso, dhihaka na ubaya wa kila aina ndiyo maana kila mtawala wa...
16 Reactions
37 Replies
2K Views
Waliwahi kuitwa na Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge kwa kutoa kauli zilizodhaniwa kuwa zinalibagaza bunge ni pamoja na:- 1. Makonda alipokuwa RC wa DSM. Huyu alisema wabunge wanalala tu...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom