Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanabodi, Mfanyabiashara Tasjiri, Mustafa Sabodo, ambae pia ndie mfadhili mkuu wa Chama na Demokrasia na Maendeleo, Chadema, na pia amekisaidi chama cha NCCR-Mageuzi, amesema Upinzani wa...
0 Reactions
160 Replies
14K Views
Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio...
1 Reactions
3 Replies
581 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Lawrence Tax ametembelea Chuo cha Ukamanda na Unadhimu wa Jeshi kilichopo eneo la Duluti Mkoani Arusha na kujionea kazi zinazotekelezwa na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena? Tukiwa tunakaribia uchaguzi wa serikali...
2 Reactions
19 Replies
613 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani. Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia...
15 Reactions
288 Replies
18K Views
Naungana na bunge kukanusha taarifa za Mh. Mbowe kuwa wabunge wameongezewa mshahara kutoka sh. Milioni 13 mpaka milioni 18. Kwanza tangu tupate uhuru wa nchi hii serikali haijawahi kumlipa mbunge...
3 Reactions
7 Replies
653 Views
Na Tausi Ally | Mwananchi WIKI iliyopita Halmashauri ya Manispaa ya Ilala ilitoa kibali cha ujenzi wa jumba la ghorofa 14 kwa mfanyabiashara Mustafa Jaffer Sabodo. Kibali hicho kilikabidhiwa...
5 Reactions
40 Replies
14K Views
Heshima kwenu. Tanzania kwa awamu ijayo ili kusababisha ukuaji wa Uchumi kuwafikia Wananchi wa kawaida au wakipato cha chini. Na ili kuweza kutoa ajira kwa vijana ambao ndo wengi kwa mujibu...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) akichukua nafasi ya Ephraim Mafuru ambaye...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kipindi cha Magufuli tulishuhudia kuibuka kwa wanaharakati wengi mtandaoni Kuna ambao walikuwepo tangu zamani lakini umaarufu wao ukaongezeka mara dufu kipindi cha Magufuli na wengine hawakuwahi...
0 Reactions
2 Replies
538 Views
Leo tarehe 22 octaba 2016 nimepita pale Ofisi ya CHADEMA makao makuu iliyopo mtaa wa Ufipa nimekuta ukarabati wa kuridhisha kiasi flani kwa ofisi hiyo. Nitoe rai ukarabati ufanyike pia katika...
5 Reactions
117 Replies
49K Views
KWA NINI CCM WANAENDELEA KUTAWALA WAKATI MADHAMBI YAO YANAJULIKANA? Chama Cha Mapinduzi CCM kinaonekana kama kitaendelea kushika dola kwa miaka mingine mitano ili hali kikionekana kimeshapoteza...
9 Reactions
71 Replies
6K Views
Katika harakati zake za kujinasua katikaa kufukuzwa uanachama wa CCM na vikao vya chama, EL ana watu ambao wapo tayari kufa nae. Hawa ni: Mbunge wa Kigoma Mjini mhe. Peter Serukamba, Januari...
3 Reactions
505 Replies
38K Views
Kuna tetesi zimeenea hapa Arusha kuwa yule anayeitwa kama 'tajiri mzalendo' ni mmoja wa wafanyabiashara na matajiri wanaomfadhili ndugu Lowassa. Mengi kumfadhili Lowassa sio kosa bali ni vizuri...
7 Reactions
114 Replies
15K Views
MFANYABIASHARA maarufu, Mustapha Jaffer Sabodo ametangaza kutoa dola za Marekani bilioni 5 (Sh trilioni 10) kwa ajili ya kuwekeza mkoani Dodoma, ikiwa ni njia ya kumuunga mkono Rais John Magufuli...
21 Reactions
519 Replies
62K Views
Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao. Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za...
1 Reactions
6 Replies
461 Views
Naomba tu kuelimishwa kwa sababu Katiba ya JMT ni tofauti na ile ya nchi au Taifa la Zanzibar Haya mambo ni Vizuri tukaelimishana Mapema kwa sababu siyo kila atakayekuwepo atakuwa na roho ya...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote ana hasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara...
17 Reactions
104 Replies
7K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno! Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa...
19 Reactions
51 Replies
3K Views
Wanabodi, Kama ilivyo kawaida yetu jf, wewe kama mwana JF, una pata ile kitu inaitwa the jf advantage to "be the first to know" kuwa ujio wa Lawassa kujiunga Chadema, sio tuu utakipaisha...
17 Reactions
183 Replies
26K Views
Back
Top Bottom