Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu kwema? Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo? Huu mshahara tunaomlipa kutoka...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimepata uoga mkubwa sana moyoni mwangu na hofu kubwa sana akilini mwangu na kutetemeka sana mwili wangu na kupatwa na ganzi katika mwili wangu. Hapa ni pale baada ya...
0 Reactions
7 Replies
627 Views
Combination ya Makonda na Sabaya kwenye serikali ya awamu wa tano ilikuwa ya kuotea mbali na shida za wananchi zilitatuliwa papo kwa papo field. Sasa baada ya Makonda kurudi kama katibu mwenezi...
-1 Reactions
48 Replies
3K Views
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo. Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1...
51 Reactions
526 Replies
49K Views
Pamoja na Kwamba Mjeda Mkuu Mstaafu ametuacha Njia Panda lakini ni Wazi wale wote wanaotajwa kuutamani Urais baada ya Shujaa Magufuli kututoka hawatoshi Ni Bora Katiba iliheshimiwa Mungu wa...
6 Reactions
14 Replies
668 Views
Deusdetit Soka Mwenyekiti wa Bavicha Temeke amedai kuwa alipigwa sana alipokuwa mikononi mwa Polisi Bandari Soka amesema hayo alipokuwa akihojiwa na Waandishi wa Habari. Source: Jambo TV
4 Reactions
69 Replies
5K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ameeleza jinsi Viongozi Wanawake ni wachapakazi,wazalendo na waadilifu wanapopewa nafasi mbalimbali za kiuongozi katika...
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Kama umefuatilia kifalsafa maelezo ya CDF Mstaafu General Mabeyo juu ya hadhi ya Amir Jeshi mkuu utagundua kimfumo Rais wa JMT na hata Zanzibar hawezi kutokea chama cha Upinzani. Prof Tibaijuka...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Niwashukuru sana Watendaji wa Jamii Forums kwa kuitendea Haki Siku ya Kumbukizi la Shujaa Magufuli. Siku ya jana nyuzi za Shujaa Magufuli zilikuwa nyingi kupitiliza lakini mlizivumilia hamkufuta...
10 Reactions
14 Replies
585 Views
Bashe namkubali kwenye jambo moja tu, anajua mno kucheza na akili za wajinga na anajua fika nchi ina wajinga wengi ambao kureason hawawezi kitu na hapo ndio anapo pitia. Zile project zake zenyewe...
9 Reactions
12 Replies
670 Views
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Hii ni orodha fupi ya wenye ujasili wa kumkabili CCM. Kama hauko humo kuwa tayari kujiunga na CCM. Hao ni wenzako hujijui tu: 1. Wanaompinga Israel na udhwalimu wake Gaza. 2. Wanaowaunga mkono...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Mambo mbalimbali yameendelea baada ya Maandamano ikiwemo mgao wa Umeme kufikia kikomo na Sukari kupatikana bila matatizo. Tulitegemea Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu atoke kuishukuru...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Watanzania tulio zaliwa vijijini tunajua shida ya maji iliyokuwa inapatikana katika vijiji vyetu. Tumpe Maua yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kumtua ndoo mama...
0 Reactions
1 Replies
377 Views
Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021. Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho...
18 Reactions
33 Replies
1K Views
Serikali sijui mna waza nini dhidi ya historia nzuri za watu hawa kwa waliyo yafanya enzi za uhai wao hapa Duniani. Ni kweli Dr Samia na viongozi walio pita mmejenga malaibrary ya wapendwa wetu...
1 Reactions
6 Replies
942 Views
Mahojiano aliyoyafanya mkuu wa majeshi mstaafu yametufungulia kaupenyo kwenye dirisha la kilichokuwa kinaendelea kwenye siku za mwisho za uhai wa Rais Magufuli. Kitendo cha mkuu wa majeshi na...
5 Reactions
8 Replies
690 Views
Wakati wa uchaguzi, baadhi ya watu hutengeneza taarifa za uongo au kuficha ukweli kuhusu historia ya mgombea fulani ili kuathiri taswira yake kwa umma. Taarifa hizo zinaweza kuwa mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho ametembelea Ofisi za...
1 Reactions
2 Replies
375 Views
Back
Top Bottom