Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa. Ni muda...
2 Reactions
2 Replies
276 Views
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania. Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo; 1. Ni...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini? WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI Na. WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi...
8 Reactions
77 Replies
3K Views
Mkoa wa Njombe kwa sasa Kilimo kikubwa ni maparachichi kwa sababu kuna soko la uhakika. Je baada ya miaka 5 ijayo soko hili litakwepo huko nje? Njombe na Mbeya ni muhimu kukawa na kiwanda kidogo...
1 Reactions
5 Replies
573 Views
Kauli ya Waziri Mbarawa kwamba treni yetu iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu sio ya mwendokasi imeibua taharuki na kelele nyingi sana kutoka kwa raia wengi wakiona kama wamechezewa mchezo wa...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo. Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na...
8 Reactions
68 Replies
2K Views
Tanzania tuna miaka 63 ya toka tupate uhuru lakini kimaendeleo na kisiasa na kidemokrasia tuko juu, kuliko Haiti iliyopata uhuru miaka 220 iliyopita. Hongera CCM kwa kuipeleka nchi spidi kali...
2 Reactions
6 Replies
534 Views
Baada ya kumsikiliza mkuu wa majeshi mstaafu katika mahojiano yake na vyombo vya habari vya serikali, nimewaza jambo. CDF Mabeyo anasema wakuu wa vyombo walijulishwa hali ya mkuu wa nchi, na...
22 Reactions
96 Replies
6K Views
Leo 19/03/2024 Rais Dr Samia Suluhu Hassan anatimiza Miaka 3 ya Uongozi wake kama Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu Nchi za Africa Mashariki zimekuwa na tatizo kubwa la Demokrasia na Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
641 Views
Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk Je, watendaji wakiwemo...
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
12 Reactions
172 Replies
9K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko mwendelezo wa bandiko hili Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs...
16 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi kama mwananchi Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini uboreshaji wa jengo la Abiria la Uwanja wa ndege Mwanza. Cha kushangaza ahadi na maelezo matamu yamekuwa yakitolewa kila mara kuwa mkataba na...
1 Reactions
0 Replies
492 Views
Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Kanali Kahabi ametangaza kuwa hawezi kufanya kazi na DED wa wilaya hiyo. Akiongea katika ziara ya mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa, DC huyo amesema DED...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio...
4 Reactions
5 Replies
893 Views
Naona Madeleka anazidi kuchanja mbuga Mahakamani akipambana na Pauline Gekul. Ila nataka tu nikumbushe kwamba huyu wakati anafanya ule ukatili alikuwa Naibu waziri wa Katiba na sheria . Ofisi ya...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
Kuna kampuni imeanzishwa au kupewa tender inayokwamisha biashara nchini kwa kigezo cha wrong parking Kampuni hii imekuwa chanzo cha wageni kugoma kutumia bandari yetu au kupeleka image mbaya nje...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25%...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Katika hili Chadema mlionyesha Uzalendo wa hali ya juu Mmeingia kwenye Vitabu Vya kumbukumbu Mlale Unono 😀😀🔥
1 Reactions
5 Replies
281 Views
Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua , Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote...
20 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom