Leo tumeona Polisi wamedai kumkamata mmiliki wa akaunti ya X inayotambulika kwa JINA la Sukunuku; mara tu polisi walipotaka hayo mawakili binafsi wengi wameonyesha nia ya kusimamia kesi hiyo huku...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo, Tarehe 19 Mwezi Machi, ambapo leo ndio miaka miwili kamili ya Rais Samia madarakani, aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania siku...
Mpaka sasa CCM imewapitia Radha tofauti tofauti za uongozi watanzania kutoka Kwa viongozi wake. Kutoka radha ya viongozi wenye maamuzi magumu, Radha ya viongozi wakali sana, Radha ya viongozi...
19 March 2024
Dar es Salaam, Tanzania
A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES...
Pale Hanang kuna maafa na ni kama imetokea landslide kutokea Mlima Hanang, nimeona maaskari wa FFU wakiwa wamevalia buti zao kana kwamba wanaenda kukamata waandamanaji eti ndio kikosi cha uokoaji...
Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za...
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.
Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu...
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na Yanga nk vina wasemaji active msemaji wa CHADEMA Makene yuko wapi hasikiki kulikoni?
Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda...
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.
Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then...
Hivi ndivyo BBC wametoka mrejesho wa miaka 3 ya Rais Samia Madarakani wakielezea jinsi ameshindwa viunzi na kupata Matarajio kinyume Cha Wakosoaji ambao walitarajia atashindwa.
BBC wanasema Kwa...
Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya...
Nape Nauye amekuja na suluhu ya kusambaza internet kwa kasi kuliko ilivyo sasa. Anasema kwa kuwa kila mwananchi anaumeme kwake basi miundombinu ya TANESCO itumike kufikisha mawasiliano kwenye...
Uchambuzi wa ripoti ya CAG ulofanywa na chama cha ACT WAZALENDO inasema tulidharau na kuutupa mradi wa umeme wa gesi ambao tulishakopa fedha China wenye wenye uwezo wa kuzalisha MW 3500...
Mambo yanayosikika toka Mbeya ni mifupa mitupu. Huyu mkuu wa mkoa kiukweli hafai uongozi wa kiserikali.
Alianza kuwatia lupango kijiji kizima.
Akafuata kucharaza viboko wanafunzi utafikiri...
Duniani wapo watu wamezaliwa na wivu. Wakati wote wanatamani wao waonekane bora kuliko wengine. Hii haikuanza hivi karibuni bali imeanza toka asili ya binadamu. Utakumbuka Kaini alivyotoa sadaka...
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemuomba aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad kurejea tena na chama hicho ili washirikiane kudai haki.
Akizungumza jana jijini Dar es...
Yetu macho
====
Alichokiandika Mbowe
Msimamo wa JPM na Serikali yake kuhusu #COVID19 ni aibu na jinai kubwa dhidi ya ubinadamu yenye athari kwa maisha & uchumi. Corona Tz ipo tele. Waso-hatia...
Kuna mambo makubwa matatu,
Kwanza, matajiri wengi wa Africa wamejipatia utajiri kutokana biashara za uchuuzi tu bila kuhusika katika kufanya mabadiliko ya makubwa ya teknolojia. Hii ni tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.