Kuna Stendi ya mwendokasi pale (Jangwani), mwendokasi ile imejengwa kwenye mkondo wa maji halafu maji yakijaa pale wanaanza kulia kwamba maji yameingia kwenye magari sio kweli bali magari...
Kwenye fomu ya CCM ya kuomba kugombea ubunge kuna kipengele kinachotamka kuwa umekifanyia nini chama.Jibu la hapo ni lazima uwe umefanya kitu kama mwana CCM kimojawapo ni kusaidia kutatua kero ya...
Nawashukuru nyote kwa salamu za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka mitatu toka nilipoapa kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwenyezi Mungu...
Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu.
Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa...
Mimi nafikiri matatizo ya nchi yetu ni makubwa kuliko tunavyofikiria. Yapo kila kona, si tu katika siasa. Kama daktari anaweza akamfanyia mtu upasuaji wa kichwa badala ya mguu, hivi jamani utasema...
Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha.
Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare...
Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa
Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa...
Je ni sahihi wananchi kujichukulia sheria mkononi wakamuua RPC wa Arusha? Kama sio sahihi basi tunataka kuona askari wa usalama barabarani Arusha waliojichukulia sheria mkononi kwa kumuua Omari...
Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi.
Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro-Chadema huwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu bado yuko Mkoani Morogoro kwa ziara ya Kikazi, ambapo leo ni zamu ya Kilosa.
Mengi yanaongelewa kwenye Mkutano huo, lakini kwa...
Watanzania tuachane na mentality za kijamaa zakuwapa majimbo watu wasio na nyumba wala utajiri wowote. Tuwakatae watu wasio na business mind kuongoza nafasi za kisiasa nchini kwetu.
Kuendelea...
Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI.
Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo...
Serikali mkoani Pwani nchini Tanzania yatoa tahadhari kwa wakaazi na wakulima waliopo katika bonde la mto Rufiji
Mh. Abubakar Kunenge mkuu wa mkoa wa Pwani amesema taarifa hiyo muhimu ni kuweka...
TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu.
Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi.
Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea...
Wadau nawasalimu.
Kwa wale wenye kumbukumbu nzuri hayati Samweli Sitta alikuwa mwenyekiti wa bunge la katiba na Rais Samia alikuwa Makamu mwenyekiti wa bunge la Katiba.
Binafsi baada ya Rais...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.
Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Fedha ya NSSF kufikia Juni 30, 2023!
1. Mikopo Miradi ya Serikali TZS 611bn
2. Mikopo kwa Wabunge TZS 1.2bn
3. Mikopo kwa Taasisi, Udhamini wa Serikali TZS 89bn
4. Mikopo...
"Tofauti na kipindi kilichopita, awamu hii ya Rais Samia tumeona watu wanaruhusiwa wanaandamana barabarani, mama ameruhusu na anawapa na ulinzi kwa sababu mama anajiamini, Mheshimiwa Rais Samia...
Labda tukiondoa Korea kaskazini, Tanzania inaweza ikawa nchi inayofuatia kwa kuwa na media ambazo kazi yao kubwa ni kumsifia rais. Ukiangalia magazeti karibu tote, radio na TV station yote ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.