Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwako Rais wetu, kiongozi shupavu na mwanamapinduzi wa kweli Mhe.Samia, ninakusalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nchi yetu katika vipindi tofauti katika awamu ya kwanza ya...
0 Reactions
4 Replies
579 Views
Kuna wafuasi wa CHADEMA shughuli kama hizi huwa wanazipenda sana, wanaweza kuingia uwanjani na jezi za Mamelodi au Al Ahly ili tu waingie kwenye mtanange wa sheria na Ndumbaro pamoja na Karia...
0 Reactions
2 Replies
279 Views
Salaam, Shalom! Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote...
3 Reactions
78 Replies
2K Views
Tanzania ni moja ya Nchi Duniani ambayo imebarikiwa na kila kitu. Tanzania imebarikiwa Madini ya kila aina, pongezi kubwa kwa Serikali na Wizara ya Madini kwa kuendelea kuwekeza fedha nyingi...
9 Reactions
54 Replies
1K Views
Taarifa zinaonyesha kwamba Nchini Tanzania leo zinafanyika Chaguzi kadhaa, za marudio, kutokana na nafasi kadhaa kuwa wazi, kwa sababu ya vifo pamoja na mambo mengine yaliyowatokea waliokuwepo...
13 Reactions
29 Replies
1K Views
Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA ITACHUKUA muda kuelewa nini hasa kilichokikumba Chama Kikuu cha Upinzani nchini (CHADEMA) hadi kikashindwa kutatua mgogoro wa uongozi na hatimaye kuingiza...
52 Reactions
520 Replies
41K Views
Msingi mkuu alioujenga Maguful ni kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri Wakurugenzi ndio Wasimamizi wa Uchaguzi Wapinzani walilala usingizi wakati Shujaa anaujenga huu Msingi na...
1 Reactions
21 Replies
682 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI- Mohamed Mchengerwa amesema Serikali inatambua changamoto za mradi huu. Ameahidi mpaka ifikapo Mwezi September-Oktoba 2024 matatizo yote yatakuwa yamekwisha...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Mara kwa mara mzee Kikwete amekuwa akisema vyama vya Upinzani Siyo tishio kwa CCM na havina ubavu wa kuishinda kwenye uchaguzi mkuu Kwenye kumuaga Hayati Mwinyi pale Uwanja wa Uhuru Mzee Kikwete...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Viongozi ngazi za Kata na Vijiji wametakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea na kuwalinda Wananchi dhidi ya vitendo vya uonevu vinavyofanywa na baadhi ya Watumishi wa serikali ikiwemo askari kukamata...
0 Reactions
2 Replies
355 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru...
0 Reactions
5 Replies
495 Views
Demokrasia ni utawala wa walio wengi .Sensa ya watu Tanzania inaonyesha Tanzania wengi vijana inakuwaje viongozi wa vyama vya siasa na serikalini na bunge vikongwe? Vyama vyote kuanzia CCM...
1 Reactions
18 Replies
606 Views
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
51 Reactions
321 Replies
9K Views
Mjumbe hauwawi,someni wenyewe hapa 👇 --- Askofu wa Dayosisi ya Karagwe KKKT Dkt. Benson Bagonza ameeleza hayo kupitia waraka alioutoa kufuatia yale aliyoeleza CDF mstaafu Jenerali Venance Mabeyo...
0 Reactions
2 Replies
865 Views
CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3...
21 Reactions
25 Replies
4K Views
Salaam,Shalom!! Zamani, mwalimu wa Shule ya msingi, alikuwa na uwezo wa kuchukua fomu na kugombea ubunge na akashinda, sasa hivi akijaribu, atakutana na kikumbo Cha tajiri au .toto wa kiongozi...
15 Reactions
104 Replies
4K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa...
1 Reactions
10 Replies
678 Views
1. Ujenzi na uboreshaji wa Miundombinu ya kutolea huduma za Afya katika maeneo mbalimbali nchini yamewezesha Vituo vya kutolea huduma za Afya kuongezeka kutoka vituo 8,549 Mwaka 2021 hadi vituo...
1 Reactions
0 Replies
335 Views
Mchezo wa kukataa mchele kutoka Marekani ni zaidi ya mchezo maarufu wa kombolela unaochezwa na watoto. Mchezo wa kitoto haukeshi. Sote tunafahamu kuwa msaada ni kitu kinachotolewa kwa hisani...
4 Reactions
15 Replies
911 Views
Wakuu twendeni pamoja Na Sam Ruhuza 19/03/2021 aliapishwa Rais mpya kuwa Rais kufuatia kifo cha Rais aliyekuwapo, kwahiyo amepata nafasi hiyo kutokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania...
2 Reactions
9 Replies
578 Views
Back
Top Bottom