Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hello JF Members. Tangu kuasisiwa kwa siasa za mitandaoni mwanzoni mwa miaka ya 2010 hakika ni ukweli usiopingika kuwa vyama vya upinzani hasa wachaga na chama Chao,kwakweli walitukaba koo...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam. Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate...
25 Reactions
43 Replies
3K Views
Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha...
1 Reactions
7 Replies
378 Views
baada ya kufanya tafiti yangu binafsi mimi kama mzalendo nimeona mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi hii inaonesha wananchi wengi hawaikubali serikali. ikatokea ipigwe kura ya ndio kwa...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Kata ya Kasingirima, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwantumu Mgonja amemtangaza Mlekwa Kigeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika uchaguzi huo...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini...
12 Reactions
190 Replies
6K Views
Kuna usemi usemao" usilizunguke bomu, bali pita katikati yake mapema ili lilipuke mapema wakati huo, kukusaidia lisije kuangamiza watu wengi zaidi baadae ambao hawataliona iwapo litalipuka" Maana...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
"Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni...
5 Reactions
13 Replies
880 Views
Huduma ya usafiri wa ndege kwenda Mwanza imeimarika sana. Ndege zipo nyingi na zinatoa huduma masaa ishirini na nne kwa kupishana anagani. Wageni wengi wanaingia Mwanza sasa hivi, baadhi ya...
1 Reactions
9 Replies
767 Views
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima...
18 Reactions
68 Replies
4K Views
Salaam Wadau, Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo katika mfumo wa Vyama vingi vya Siasa. Kwa maana hii, Wananchi wamekuwa wafuasi wa Vyama mbalimbali. Baadhi ya Vyama vina ushawishi Mkubwa na...
4 Reactions
10 Replies
428 Views
Waasisi wa mambo ya Ukanda ni Chadema ambao walijikita kanda ya Kaskazini hasa Uchaggani na Arusha Baadae Ukanda ukahamia Pwani ya Tanga hadi Mtwara Sasa Ukanda umeota Mizizi Ziwa Victoria...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Wenzetu Kenya wamepata connection Toka Marekani na sasa Wamepeleka Mapolisi Haiti na kujiimarisha Kiuchumi Nakushauri Bashe wasiliana na Waziri Anthony Blinken wa USA kuna fursa ya kupeleka mazao...
9 Reactions
76 Replies
2K Views
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya. Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
103 Reactions
286 Replies
31K Views
Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists...
14 Reactions
46 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika...
0 Reactions
2 Replies
471 Views
Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya...
15 Reactions
104 Replies
9K Views
Alipojiengua CCM na kuhamia NAREA(NRA), Al-marhumu Prof KIGHOMA ALLY MALIMA alienda Makka katika hijja ya UMRA. Kabla ya kwenda kwake huko aliahidi pindi atakapo rudi Tzania, atakuja kutoa...
7 Reactions
479 Replies
76K Views
Back
Top Bottom