Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mara kadhaa niliona matangazo kwamba uchaguzi utakuwa mwaka 2023, nini kilitokea mpaka haukufanyika? Mimi kama mpigakura ninapenda kuona safu mpya ya uongozi ili kuanza kwa maono mapya.
1 Reactions
9 Replies
411 Views
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Tabata, mbele ya Umati mkubwa wa Wananchi, Tundu Lissu ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Amesema kwamba, Nchi ya Tanzania bado inatafuta...
13 Reactions
64 Replies
4K Views
Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe. Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Mama Samia kwa vitendo hakubalini na Ikulu ya Chamwino. Kinadharia kwa mtu aliyewahi kukaa Dodoma siyo sehemu yakukaa ukafanya kazi za kuumiza kichwa kama kuongoza nchi. Hali ya hewa ya Dodoma ni...
18 Reactions
25 Replies
2K Views
Uteuzi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko ya Wakurugenzi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kama ifuatavyo...
0 Reactions
5 Replies
929 Views
Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha. Huku...
6 Reactions
12 Replies
602 Views
Waziri wa mambo ya Nje mh January Makamba amewaambia diaspora nchini Italy Kwamba tuna kila sababu ya kumchagua tena Rais Samia katika Uchaguzi wa 2025 January amesema Rais Samia alichukua...
2 Reactions
6 Replies
751 Views
-Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi shupavu na mwenye ujasiri tangu alipoingia madarakani. Kama mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Rais Samia ameleta mabadiliko...
2 Reactions
18 Replies
838 Views
Hayati Magufuli alikuwa ni mwafrika tena mwenye mfumo dume. Alikuwa baba ambaye amekuzwa katika kusema ukweli na kushinikiza kutendeka kila anachotaka yeye. Alikuwa mzazi asiyependa kukosolewa na...
6 Reactions
4 Replies
511 Views
Kama alivyosema Ismael Jussa kwamba mabadiliko kamili nchini Tanzania yataanzia Zanzibar kupitia ACT wazalendo " mpya" Sasa nimeanza kumuelewa nawaona Watu wanagombea Kadi Kustaafu kwa Zitto...
2 Reactions
73 Replies
4K Views
Siasa za uswahiba na kupigana majungu zimemfanya Rais amuondoe mkuu wa mkoa Singida Peter Serukamba baada ya kukwama kutimiza majukumu yake huku Rais akitamka hadharani kuwa Serukamba ni mchapa...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Tofauti na propaganda za serikali ya wanaccm za kila mwaka, kuwa uchumi wa watanzania unakuwa kwa asilimia kubwa kila mwaka, benki ya Dunia imewashushua waendesha propaganda hizo kwa kueleza...
19 Reactions
98 Replies
4K Views
Juzi Mhe. Rais akiwaapisha Wateule wake alikemea sana wizi unaofanyika Serikalini na baadaye akasema kuwa kuanzia sasa Halmashauri zitapewa fedha kutoka Serikalini kutokana na makusanyo yake...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
#Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na...
20 Reactions
70 Replies
4K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka watendaji Wizara ya Nishati, Tanesco na REA kuacha mazoea na kutatua kero za wananchi. Dk Biteko ameyasema hayo leo Alhamisi...
0 Reactions
4 Replies
618 Views
RC SONGWE AAGIZA WALIOTAFUNA MILIONI 400 ZA MRADI WA MACHINGA TUNDUMA KUKAMATWA. TUNDUMA: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis Michael ameviagiza vyombo vya ulinzi kuanza kuwachukulia hatua...
2 Reactions
8 Replies
951 Views
Mbunge wa Viti Maalum Chadema mh Halima Mdee atatoa Ushuhuda namna Shujaa Maguful na Chadema walivyoshirikiana kuleta maendeleo ya Jimbo la Kawe tangu Shujaa akiwa Waziri wa Ujenzi, Waziri wa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ujerumani: Mradi wa umeme wa Tanzania wapigiwa kura bungeni Bunge la Ujerumani limepitisha mswada wa kuitaka serikali ya Ujerumani itafute njia mbadala ya mradi wa Tanzania wa kuzalisha nishati...
60 Reactions
783 Replies
90K Views
Back
Top Bottom