Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amezungumzia kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol, dezeli na mafuta ya taa huku akisema hali hiyo haikwepeki Tanzania. Nyalandu amesema...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Pangekuwepo Serikali 3 hii mjadala ya leo isingekuwepo kwa Maamuzi haya haya ya Bandari Ni Maalim Seif na Mchungaji Mtikila tu ndio walielewa maana halisi ya Serikali 3!
1 Reactions
5 Replies
650 Views
Mchengerwa anaongelea kushughulikia kerozipi kubwa wakati Mwenezi Makonda anakutana na watu kadha wa kadha wakiwa na kero lukuki mpaka zinaanzishwa kliniki za kusikiliza kero hizo? Sekta zote...
0 Reactions
6 Replies
535 Views
Rushwa katika Vyama vya Siasa ni tatizo katika Nchi nyingi Duniani na inaathiri Demokrasia kwa kudhoofisha Uwajibikaji, Usawa, na Uaminifu katika Mifumo ya Kisiasa Katika baadhi ya maeneo, Watu...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Nadhani wananchi wenyewe mngewapa mbinu, maoni viongozi wenu kupitia platform mbalimbali ili wajue mnahitaji nini kulikoni kukaa na kuwa dislike, ninachojua mpaka sasa na ninaamini hilo ya kuwa...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye...
11 Reactions
124 Replies
7K Views
Taasisi ya Chawa wa Mama imesema Chawa kupigwa Marufuku ni Vita ya Kisiasa na Wivu Ndani ya CCM lakini Wao hawahusiki kwa Sababu wamesajiliwa Kisheria. Mwenyekiti Komredi Maimatha amesema kupitia...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Maofisa watendaji wakuu wa taasisi yoyote ile ni maofisa waaandamizi kabisa wa kampuni au taasisi yoyote ya umma. Kwa miaka mingi kumekuwepo na teuzi na tenguatengua za watendaji wa makampuni na...
3 Reactions
7 Replies
684 Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake. Uamuzi huo...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa. Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia. Hili liwe ni fundisho...
26 Reactions
217 Replies
15K Views
Ndiye mgombea pekee wa ubunge aliyetumia helikopta kusaka kura.....wana-TAKUKURU kivuli tunauliza ni nani jamaa huyu? Mafweza anayapata wapi? Wenye 'takwimu' waturushie.....
2 Reactions
182 Replies
44K Views
Habari wadau.! Napenda kufahamu kwa nia ya dhati hivi huyu mwandishi JACKTON MANYERERE ni nani na yupo kimaslahi au ndo loopholes ya per seating allowance na 10% perce ndani ya Idara kongwe na...
1 Reactions
59 Replies
9K Views
Niseme kuwa CCM haijawahi kumshutumu Nyalandu au lembeli kisa wamehama. Ni chadema na wananchi wa kawaida ndio waliokuwa wakiwashutumu watu hao. Kazi ya Pro CCM sio kushutumu bali kuwakumbushia...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Nyalandu kutangaza kugombea URAIS, Siri zafichuka kutoka Kikao Cha KBH singida. Yadaiwa ni kumdhibiti na kumpunguzia nguvu Mwigulu Nchemba,Pia Muundo Mpya wa Baraza la Mawaziri Wamuweka tumbo...
2 Reactions
89 Replies
16K Views
Waziri wa maliasili ametangaza kupambana na majangili kwa nguvu zake zote."Tutawafuata majangili popote walipo..majumbani... na wote wanaowafadhili na kuhusika katika mtandao wa kuua tembo"...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa katika kura za maoni basi ni wazi kuwa JK na Shein wataendelea kukalia viti vyao si chini ya miaka miwili zaidi ili kuwezesha Watanganyika...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Acha kwanza nikukumbushe tulikotoka japo kwa ufupi, 1. Kipindi cha Nyerere: Ninaikumbuka kauli ya baba wa taifa alipokuwa akikiri kwamba katika awamu Yao Kuna mazuri na mabaya mengi. Na sote ni...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais Samia baada ya kuapisha viongozi wateule, amesema kuwa sasa serikali inakwenda kupunguza kukopa. Tunakwenda kupunguza masuala ya kukopa hasa kwa huduma za jamii sababu katika miaka mitatu...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Rais wetu mzalendo Hayati John Magufuli tarehe 17.03.2024 siku ya Jumapili atatimiza miaka mitatu toka kulala kwake usingizi wa daima Kupitia haiba yake ya Uzalendo Uchapakazi Upendo Uaminifu...
24 Reactions
59 Replies
3K Views
11 March 2024 Kigali, Rwanda Waziri January Makamba na ujumbe wake kutoka sekta za wizara za Uchukuzi, Biashara na Viwanda, TEHAMA, Kilimo, Nishati na maofisa pia wa mashirika ya umma. Ziara ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom