MTATIRO AKABIDHIWA MIKOBA SHINYANGA
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Wakili Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi ili kuanza majukumu ya Mkuu wa Wilaya ya...
Rais Samia amemtumia Salam za kheri ya kutimiza miaka 11 ya Upapa Baba Mtakatifu Papa Francisco
Rais Samia pia amemshukuru baba Mtakatifu Papa Francisco kwa kumualika Vatican Mwezi uliopita...
Chama Cha Mapinduzi (CCM ) kimeingia katika
historia ya kipekee Tanzania baada ya mara ya kwanza kwa chama hicho kikongwe kushindwa kumuweka hadharani mgombea wake wa urais kwenye uchaguzi mkuu...
Katika Gazeti la MwanaHalisi la leo kuna taarifa yenye kichwa cha habari KIKWETE KUFURU, kwamba wakati wa utawala wa JK kulikuwa na tabia ya kufuja pesa za walipa kodi kwa njia za FEDHEHA.
Katika...
Katika lugha ya picha, hutumika vitu au hata baadhi ya viumbe au wadudu kuelezea mahusiano ya mwanadamu na wanadamu wenzake:
Ndiyo maana huwa kuna misemo kama, 'pete na kidole', kuelezea urafiki...
Kweli wahenga walisema FADHIRA MFADHIRI MBUZI BINADAMU ATAKUUDHI, yaani kujitoa kote kule kwa Lowasa na Rostam kuzunguka nchi nzima kwa fedha zao kumnadi Kikwete kabla ya kikao cha uteuzi na pia...
UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha...
Hebu anaglieni miradi mikubwa inayoanza na itakayoanza mda si mrefu..je hizi peas Magu anatoa wapi??
1.Strogersgorge:2100MW rufiji..
see Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge —...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya...
Wanabodi,
Kadri siku zinavyokwenda, ndivyo Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli anavyozidi kuzikonga nyonyo za Watanzania, wanaopenda reality, simplicity, genuinely na down to earth, ndivyo...
Wanabodi,
Kupitia live ya TBC kutokea Lindi kwenye Kongamano la Kumuenzi Baba wa Taifa, Getrude Mongela Amethibitisha yeye ni Mwanamke wa Shoka, Alipaswa hata Kuwa Rais wa JMT, Kwa Jinsi Alivyo...
Wanabodi,
Angalizo
Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli anapopongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema, wao wanakasirika, hivyo rais...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikimuangalia na kumfuatilia Rais na jemedari wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
Rais Samia amesema mikoa mingi yenye mazao ya biashara maendeleo yao yanaonekana ukipita barabarani. Rais Samia amesema hali ni tofauti kwa mikoa ya kusini ambako wanalima mazao ya korosho, ufuta...
OFISI YA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI
MHE. ABOOD AUDHULIA VIKAO MAALUM NA MUHIMU VYA MAENDELEO YA WANANCHI
[emoji3502] RCC (REGIONAL CONSTRUCTIVE COMMITEE)
Hiki ni Kikao cha Kamati ya...
“Kuna suala la mikataba,kuna amri kwamba mikoa, wilaya isimalize kuingia kwenye mikataba mpaka ofisi ya Mwanasheria Mkuu waone mikataba hiyo, lakini kuna wengine wanajifanya mafundi na kusaidi...
DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amesema utendaji mzuri wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ndio sababu iliyompa nafasi ya kuaminiwa zaidi na kupandishwa cheo.
Mkuu huyo wa nchi ametoa...
Shujaa Magufuli hakuwa Mwanasiasa lakini mbinu na swaga zake mitaani ziliwafurahisha wengi
Naona mapema Kabisa Wanasiasa wa Chadema wameanza kutumia mbinu za Shujaa Magufuli
Yeye mwenyewe...
https://www.youtube.com/watch?v=gB61__EG4Uo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 13 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete...
Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.