BENI, DR CONGO: Waziri wa Ulinzi waTanzania, Hussein Mwinyi amewatembelea katika kambi zao wanajeshi wa JWTZ wanaolinda amani nchini humo na kuwapa pole kwa kuondokewa na wenzao waliouawa na waasi.
NHIF yatoa Ufafanuzi kuhusu Dawa na Vifaa Tiba vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita
Ufafanuzi unafuatia taarifa zinazosambaa Mitandaoni kwa kasi
Taarifa kamili inakujia
Hii ndio Taarifa ya leo kwenda kwa Kasheku Musukuma na wengine wote wenye akili kama Yake, Mpaka muda huu Tundu Lissu kwenye ziara yake huko kanda ya ziwa, ametembelea na kuomba dua Maalum kwenye...
11 March 2024
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu usiku huu:
Picha maktaba: ndugu Anamringi Macha
TEUZI NA UHAMISHO :
Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara, ndugu Anamringi Macha...
Nyerere kwa kuamini Ikulu ni Mahali Patakatifu alilazimika Kuishi Msasani
Je, ni kweli Ikulu ni Mahali Patakatifu kama ilivyo Kanisani au Msikitini?
Ramadan Kareem 😄
Wakuu Jakaya Kikwete Rais Mstaafu wa Tanzania anagombea nafasi ya kuwa African Union Commission Chairperson ambapo Mshindani wake ni Raila Omollo Odinga.
Tayari Vilio vya usaliti vimeanza kusikia...
Kuna nguvu huamua hatima yetu.. Kuna nguvu hutuandalia matokeo tusiyopanga wala tusiyoyataka
Kwa waamini wa kiimani nguvu hiyo huuita Mungu au miungu na kwa wasio waamini nguvu hiyo huuita Asili...
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu ...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo ya vitu ambavyo huwa vinafanywa 'vizuri' na watawala wa watawaliwa unapoelekea mwaka wa uchaguzi ni jinsi gani huwa wanajipanga kujipendezesha kwa wakubwa wa dunia...
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo...
Mwaka 2014 kenya ilikopa fedha kutoka china kupitia bank ya exim ili ku implement ujenzi wa reli toka mombasa port adi Rwanda kupitia Uganda.
Ujenzi ulianza immediately, but reli iliishia mji wa...
Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo amesema enzi zetu tulifundishwa somo la Siasa Primary hadi Secondary school kwahiyo tulielewa maana ya Siasa na wale walioamua kuwa Wanasiasa walifanya hivyo kwa...
Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za...
Mimi nimeishia la saba B, hivyo siwezi bishana na mwenye PhD. Leo nilikuwa natembea nikaona gari kadhaa za namba E, nimezipiga picha. Kwa wengine kama mkiyaona yapigeni picha kuonesha utajiri wa...
Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona.
Nikawaza tatizo liko wapi?
Mh. Rais pole na majukumu tuliyokukabidhi watanzania. Ombi kwako ili wananchi wa Rukwa tupige angalau hatua mbili kimaendeleo ni wakati wako sahihi wa kutubadilishia Mkuu wa Mkoa.
Mkoa wa Rukwa...
Tanzania na Pakistan zimeahidi kuendelea kushirikiana kuimarisha zaidi sekta za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili.
Ahadi hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Asia na...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.