Kuna chapisho langu Moja niliwahi kuhoji kwa Nini vijana wa CCM ni washari na Wana ujasiri uliopitiliza ( over confidence).
Kwa sababu ya yanayoendelea chini ya kapeti naomba kushauri ngazi za...
Katibu wa Mambo ya Kigeni wa Chama Cha ACT Ametoa Kauli ya Chama kulaani mamlaka mjini Bujumbura kuingilia Mkutano na chama rafiki Cha bwana Agaton Rwasa Mpinzani Mkuu wa Serikali ya Burundi Ili...
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mariam Mwinyi amekutana na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Maendeleo ya Wake wa Marais wa Afrika (Organization...
Shirika la habari la AFP wakiwa wanatoa mafunzo mtandaoni wamebainisha namna upotoshaji wakati wa Uchaguzi unaweza kutokea kwa Mgombea, Chama pamoja na Mfumo.
Wanaeleza, Upotoshaji kwa Mgombea...
Na Mwl Udadis, DSM-CBD
Kwa sisi waumini wa makanisa ya Orthodox tunaamini sana katika kweli isiyochanganywa na busara za waja japo tunaheshimu sana imani za watu wengine. Natumia falsafa ya kweli...
Precision air yapata ajali Bukoba ziwa Victoria
===
NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWA VICTORIA MJINI BUKOBA
Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani...
Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya kukataliwa kwako na Dr.Ulimboka ile alhamisi mchana ulipotuma maafisa wako wa ikulu wapeleke taarifa kuwa unataka kwenda kumuona na kakakukatalia..
Bila...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) awasili Mkoani Mtwara kutatua kero ya mgogoro wa ardhi kati ya Kikosi cha Jeshi 665 Regt na Wananchi wa Mbae...
Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania...
Naam ujinga wa Watanzania na hasa walio vijijini na ambao hawana fursa ya mtandao ndio mtaji mkubwa wa CCM.
Watu wa vijijini wengi na baadhi ya walio mijini ambao hawana mtandao hawapati taarifa...
Chadema mlitaka nchi isitawalike leo hii mnaomba maridhiano!? Mmekuwa Malaika au Shetani yule yule kabadili staili!?,miaka minne mmetumia nguvu zenu zote kupinga maendeleo ya Tanzania,leo mnaomba...
Hii kauli ya Makamu wa Rais wa JMT, Bi Samia Suluhu imenifikirisha kidogo.
Amesema hana nia ya kugombea Urais Zanzibar kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kugombea nafasi ya 3 wakati kwa ngazi za...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki pamoja na mawaziri wenzake wa Ulinzi toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika mkutano wa...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amehamia rasmi Makao Makuu ya Nchi, Dodoma. Amefikia Ikulu ndogo iliyopo eneo la Kilimani.
Hii ni kutekeleza azma ya serikali kuhamisha makao makuu yake kutoka...
Siku hizi za karibuni ni kwanini hatusikii tena nchi yetu kwenye siasa za kimataifa katika kutatua migogoro na kufanya upatanishi kama hapo awali kwa nchi majirani zenye migogoro ya kisiasa na...
Pamoja na kufurahi kumuona Rais wetu akisafiri katika mikutano ya kimataifa, nimefuatilia na kuona kuwa rais wetu anasafiri sana na kuhudhuria mikutano mingine ambayo ingeweza kuwakilishwa na...
Habari waungwana,
Leo Rais Magufuli anazindua reli ya kiwango inayofuata kiwango cha kimataifa(Inakadiriwa 55% ya reli yote duniani imetumia kipimo hiki na reli zote zenye mwendokasi mkali...
Kwa hakika CHADEMA imekamilika. Kwa maana makamanda wake takribani wote, ni moto 💥🔥💥!
Akihojiwa live leo na kituo hicho maarufu 88.7 pande za huko, kamanda huyo hakumung'unya maneno.
"Kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.