Chalamila anaondoka DSM kutokana na kushindwa kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto za jiji hilo kubwa. Mahitaji ya wananchi na maono ya RC Chalamila vimeshindwa kuendana na hivyo...
Nashauri kuwe na TANESCO kwa kila kata hata kukiwa na fundi mmoja tuu akasaidiana na hawa mafundi wasaidizi waliopo ili kutatua changamoto za umeme ambazo zinatokea kwa sababu kuna wakati...
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP. Ramadhan Nga'nzi amesema baada ya kukamilika kwa wiki mbili za wanaotumia namba za 3D pamoja na vimulimuli na ving’ora kuondoa kwa hiari sasa...
Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukiisikiliza hii stori kwa umakini bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, utagundua kuwa serikali ndiyo imehusika katika kutoroka kwa...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru.
Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili...
Mara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha...
Huko Instagram na Twitter kumetokea malalamiko ya kada mwandamizi na mjumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA ndugu Yericko Nyerere kuhusu kutoalikwa kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa ikulu na Rais...
"Nendeni mkasikilize kero za wananchi" - Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.
---
---
Makonda amezunguka mmeona mfano, Wananchi wana kero kadhaa, nyingine nyepesi tu za kutatuliwa...
Dunia kwa ujumla inapitia changamoto ya matarajio ya kuporomoka kwa uchumi, kwa kuwa Tanzania ni sehemu ya Dunia pia inapitia changamoto ya mfumuko wa bei( kwa Afrika Mashariki Tanzania ni nchi...
Hivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu
Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu?
Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni...
Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu.
Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu...
Kwanza naunga mkono na miguu hoja ya Makampuni wa pili wa Rais Zanzibar kutoka ACT bwana Masoud Othman.
Wakati sheria ya ugatuaji madaraka inaanzishwa ilikuwa na lengo la Kupeleka mamlaka ya...
Mwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani Mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana John Pombe Magufuli awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama sio sasa kwa...
Wanabodi,
Kwa wale wafuatiliaji wa siasa za nchi hii, na haswa harakati za kumpata mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM, kumekuwa kukitokea mambo mengi ya kufurahisha...
Kama alivyosema Jokate ni muda muafaka Sasa wanawake kuchagua mwanamke mwenzao sio tuu Kwa sababu ni mwanamke Bali Kwa sababu ana uwezo na ameonesha.
Toka Akiwa VP ,Rais Samia ndio Rais pekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.