Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa mujibu wa mtaalamu na mtafiti wa masuala ya idadi ya watu anasema Matumaini ya Dunia yamebebwa kwenye mabega ya watu wa Afrika. Kwamba Hadi kufikia 2050 Mataifa yaliyoendelea yatakabiliwa na...
3 Reactions
14 Replies
953 Views
Hakunaga Rais duniani anayependa kutengua na kuteua mara kwa mara lakini hali hii hujitokeza pale idadi ya wasomi wenye Sifa wanapokuwa Wachache Kwa mfano hapa Tanzania Vijana Wengi wa CCM ni...
5 Reactions
12 Replies
878 Views
Mimi katika kuishi kwangu nilijua Waharifu ndo wanadukua Mitandao ya Kijamii kama Facebook, Instagram, twitter, Whatsapp nk, baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar Samweli Shammy...
12 Reactions
44 Replies
3K Views
Wakuu salaam Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi. Hivyo Vyama vya...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita Mhe. Nicodemus Maganga amewataka wananchi wa Kata ya Isebya...
0 Reactions
2 Replies
639 Views
Ni Jambo la kushangaza kwa Chama cha Mapinduzi CCM Kumteua Daniel Chongolo aliyekuwa KATIBU MKUU wa CCM aliyejiuzulu kwa KASHFA ziliyozagaa ktk VYOMBO mbalimbali vya Habari. Ni wazi CCM...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Marais na viongozi wetu wote wa jumuiya ya Afrika mashariki wamekubaliana kwa kauli moja kumuunga mkono waziri mkuu wa zamani wa kenya wakati wa utawala wa mwai kibaki...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo. Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili. Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Samia Hassan Suluhu amemteua Jacob Simon Nkwera kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba. Kabla ya uteuzi huu, Nkwera alikuwa Afisa Mwandamizi, Taasisi ya Kuzuia na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Uchaguzi wa 2020 na Uchaguzi wa 2025 hauna TOFAUTI KATIBA bado ni ile ile TUME ya UCHAGUZI bado ni ile ile MWENYEKITI wa TUME bado ni Mteule wa Mgombea Urais WAKURUGENZI wa Wilaya ambao ni...
7 Reactions
18 Replies
967 Views
  • Closed
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC)...
45 Reactions
3K Replies
321K Views
Naomba nisimuwekee maneno Makamba. Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
31 Reactions
322 Replies
16K Views
Hivi nchi yetu itakuwa na raha kiasi gani pale mama Samia S. Hassan akigombea na kuwa rais wa nchi yetu kupitia ccm , kwa mwaka 2020? Nadhani ccm itabadilika na tanzania itaweka historia nzuri...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Serikali ya Afrika Kusini imeendelea kutambua na kuuenzi mchango wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hiyo na bara la...
1 Reactions
1 Replies
473 Views
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA Dkt. Slaa amesema hana Mpango wa kurejea CHADEMA na Kwamba ataendelea kufanya siasa kama Mtu Huru Dkt. Slaa amesema hajaacha Mayai Chadema Ramadan Kareem 😄...
5 Reactions
14 Replies
905 Views
Mazungumzo ya Wanasiasa wakongwe na Chipukizi yanafanyika UDSM, leo Jumatatu Machi 11, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=0bf-4hr44BI Majadiliano Rika (Intergenerational Dialogues) ndani ya...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Nikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na...
0 Reactions
4 Replies
422 Views
Toka kampeni ya kumchangia Rais Samia pesa za kuchukua fomu makundi mbalimbali yameendelea kujitokeza kumchangia. Hivi toka walipoanza wakuu wa shule mpaka sasa PM naye kaenda kuchangisha wanawake...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wadau. Nimekuwa nikitafakari utendaji wa rais wa tz .kila siku ni kufanya uteuzi kwa masirahi ya nani??Unakuta mtu amekaa kituo cha kazi miezi 4 Alafu anahamishwa kwenda kituo kingine je...
6 Reactions
16 Replies
965 Views
Back
Top Bottom