Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki Maswa, 16 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif...
1 Reactions
1 Replies
146 Views
  • Redirect
Tanzania ingekuwa mbali kiuchumi,Treni ya SGR ingekuwa imefika Mwanza,Selikari yote ingekuwa imehamia Dodoma, Magereza yangekuwa yamejaa wahujumu uchumi,rushwa ingekuwa imekwisha kabisa,wanyonge...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
MAMA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA Jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika Mapinduzi ya Nishati Safi Barani Afrika Utangulizi Barani Afrika, mamilioni ya watu bado wanategemea kuni, mkaa, na...
0 Reactions
Replies
Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Rose Mayemba ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kutokuwa waoga na kukemea dhambi zote ikiwemo ufisadi bila kujali imefanywa...
1 Reactions
4 Replies
180 Views
  • Redirect
Yupo Frontline RAIS SAMIA AWASILISHA AJENDA YA NISHATI SAFI KWENYE MKUTANO WA AU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasilisha ajenda ya Nishati Safi ya...
0 Reactions
Replies
Views
Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono. Mdude ameyasema hayo...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Mwenyekiti wa Kampeni ya 'Mama Asemewe', Geoffrey Kiliba, ametoa onyo kali kwa wanasiasa ambao wameshindwa kuthamini vizuri ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Special Thread...
0 Reactions
11 Replies
368 Views
Utangulizi Katika muktadha wa maendeleo ya nishati safi, kuna haja ya kuangazia jinsi mitungi midogo ya gesi inavyotolewa kama sehemu ya ajenda hii. Ingawa nia inaweza kuwa ya kutoa suluhu kwa...
0 Reactions
3 Replies
131 Views
Hakuna mahesabu yoyote ambayo ya naweza kutoa jibu kwamba kwa muda tulio nao, nchi inaweza kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba. Tunajua Lissu na genge lao wana kiu kali ya madaraka wakiamini...
2 Reactions
29 Replies
517 Views
Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe Kuna...
7 Reactions
28 Replies
952 Views
  • Redirect
Tukisema no reform no election tunaamanisha viongozi wa ccm na serikali kwa ujumla wanegeuka kuwa laana kwa wananchi ! Mradi wa mwendokasi haukujengwa kwa ajiri hiyo sasa nini serikali imewaza...
1 Reactions
Replies
Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema hakuna chombo chochote cha serikali wala chama cha siasa kinachoweza kuahirisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
3 Reactions
35 Replies
882 Views
Amani iwe kwenu nyote, Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
10 Reactions
120 Replies
2K Views
BoT: We`ve no control over earnings by foreign firms 2008-05-09 09:20:15 By Patrick Kisembo The central bank has said it has no control over the money foreign contractors generate in...
3 Reactions
214 Replies
22K Views
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi...
71 Reactions
520 Replies
52K Views
Inavyoonekana serikali imeanza kuogopa kauli ya Lema aliyoitoa kuwa "Endapo rais atafikiri yeye ni Mungu basi Mungu anaweza kusitisha maisha yake kabla ya 2020". Hayo yamejidhihirisha leo...
20 Reactions
127 Replies
19K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo tarehe 14, Februari 2025 imetupilia mbali shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina juu ya kupinga...
0 Reactions
15 Replies
662 Views
Wananchi jamii ya kimasai waanika upigaji mkubwa uliofanywa Ngorongoro === Akizungumza kwa niaba ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro, Diwani James Moringe, Kata ya Olektore ambaye pia ni Katibu...
16 Reactions
86 Replies
8K Views
Wadau heshima kwenu, Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje? Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa...
19 Reactions
288 Replies
29K Views
Back
Top Bottom