Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hesabu za wanasiasa huwa ni za kujua wao wenyewe tu. Hivi kweli Chato kunahitajika uwanja mkubwa wa mpira wa miguu kama wa Taifa (kwa Mkapa) wa kazi gani? Kama huu mmoja Dar na uwingi wote wa...
22 Reactions
195 Replies
21K Views
MKUU wa upelelezi wilaya ya Arusha(OC-CID), Damas Masawe (44) amesema wazee pekee ndio wanaotakiwa kuota ndoto hivyo Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema hakustahili kuota ndoto dhidi ya Rais...
5 Reactions
62 Replies
10K Views
Nawazungumzia watu kama Godlisten Malisa ambaye ajira yake ya kwanza aliipata ndani ya ofisi ya KUB baada ya Chadema kushinda kura nyingi na kuwa chama kikuu cha upinzani kwa mara ya kwanza...
18 Reactions
67 Replies
2K Views
Mashambulizi ya Viongozi na MaCCM dhidi ya Tundu Lissu ni kiwewe cha wenye mapepo ya ukosefu wa hekima, busara na hofu ya kushindwa kwao kwa jaribio la dhuluma ya nafsi ya TUNDU LISSU. Lissu...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akiishambulia vikali kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu...
8 Reactions
77 Replies
3K Views
Verdiana Mjwahuzi (81) ambaye ni mama wa mwandishi wa habari, Erick Kabendera amemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kumsamehe mwanaye. Akizungumza kwa huzuni leo Ijumaa Desemba 13, 2019...
34 Reactions
340 Replies
33K Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi, Jenerali Mabeyo amefanya teuzi kadhaa ndani ya Jeshi la wananchi. Kanali M.E. Kaguti ambaye kwa sasa ni mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Kigoma amepandishwa cheo na mkuu wa...
10 Reactions
320 Replies
71K Views
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya...
14 Reactions
104 Replies
3K Views
Tundu Lisu ni mwalimu wa elimu ya uraia na kujitambua japo mwenyewe hajui. Tundu Lisu anadamu ya kufundisha haki, demokrasia lakini yeye na wanaomzunguka wanamuaminisha kuwa ni mwanaharakati ndio...
2 Reactions
5 Replies
233 Views
Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa...
5 Reactions
98 Replies
1K Views
Ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua madini (Shaba) Nala Mkoani Dodoma ni mkombozi wa wachimbaji wadogo na unakwenda kutibu changamoto katika eneo la kimadini Waziri wa Madini Anthony Mavunde...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imependekeza Wizara ya Kilimo kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ivunje mkataba na Mkandarasi Badr East Africa Enterpries Limited...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Kama umesahau ngoja nikukumbushe Akiwa Makamu wa Rais Dr Samia alikwenda Nairobi hospital kumtamkia Tundu Lisu Baraka za uponyaji. Dr Samia ni Kiongozi pekee wa ngazi ya Juu aliyekuwa madarakani...
3 Reactions
5 Replies
249 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa, ameongeza miezi mitano ya ukomo wa matumizi ya nishati chafu iliyokuwa ikamilike Desemba mwaka jana, kwa Taasisi...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi msaada wa vitenge 200 kwa wanawake wajawazito katika Hosptali ya Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Huyu Rose Mayemba Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA namfananisha na Kamala Harris wa Marekani hapa Mdee na Bulaya wakasome Nimesikiliza wanasiasa wengi sana hapa Tanzania na Africa huyu binti ni...
21 Reactions
49 Replies
2K Views
Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi. --- Mwandishi wa habari wa Channel...
21 Reactions
889 Replies
90K Views
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu Msikubali...
17 Reactions
118 Replies
2K Views
Nyie ndo walinzi wa taifa hili. Sio CCM Nafahamu mnaona kwa namna gani CCM wanalipeleka Taifa hili pabaya. Nafahamu mnajua namna ya Viongozi wa CCM wanavyolifisadi hili Taifa kwa wizi wa kutisha...
17 Reactions
51 Replies
1K Views
Back
Top Bottom