Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Hakuna mgao wa umeme, hakuna mgao wa umeme, hakuna mgao wa umeme. Kama huamini rudia tena mawazo haya hadi ujishawishi kuwa unachoshuhudia ni kitu kingine zaidi ya mgao wa umeme. Kwanini hakuna...
30 Reactions
95 Replies
10K Views
Ni kuwa mjadala wa Richmond ndio unaanza japo mbunge wa Kigoma Mjini ndugu Peter Serukamba alimtaka spika kumpa ufafanuzi kwanza kuwa ni kwanini Waziri mkuu hakupewa nafasi ya kujitetea kwenye...
0 Reactions
971 Replies
142K Views
UJASIRI WA UFISADI Mkataba kati ya TANESCO na Richmond Development wa tarehe 23 Juni, 2006 wa kuingiza majenereta ya umeme kufuatia upungufu wa nishati hiyo uliokuwa umekithiri nchini mwaka 2006...
6 Reactions
200 Replies
20K Views
Ndugu zangu watanzania , Hiyo ni taarifa iliyotolewa na Mheshimiwa Naibu Waziri Mkuu akiwa mkoani Mbeya ,kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgao wa umeme utakwisha bali inachofanya serikali...
0 Reactions
193 Replies
9K Views
Habari jf , nimejaribu kawaza sana kwanini Nchi yetu bado hatujapata Rais Mlutheri mbali na kwamba tuna walutheri wengi? Walokole nao ni wengi pia kwanini hatujapata Rais mlokole? Inawezekana...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko...
0 Reactions
6 Replies
966 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza wataalam kufanya ukarabati wa miundombinu ya umeme kwa wakati ili kuwawezesha wananchi kupata huduma ya umeme ya uhakika...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Na. Saidina Msangi, WF, Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Jukwaa la Kodi kitaifa lililoandaliwa na Wizara ya Fedha...
3 Reactions
3 Replies
640 Views
Binafsi namuunga mkono Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe aweze kumrejesha Chamani Dr Slaa Dr Slaa aliondoka Chadema kwa heshima kupisha maamuzi muhimu ya kihistoria ya Kamati kuu ya Chama Hata Mdee...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji visiwani humo. Anaripoti Mwandishi...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
ITATEGEMEANA NA MAJENERETA TULIYOLETA YATAISHA LINI. hiyo hakumalizia.
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA? Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha. Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu...
4 Reactions
74 Replies
4K Views
1. Mbeya Mwanza kumeonyesha - Umoja wetu utamng'oa nyoka pangoni: 2. Kwamba Slaa anasema: _______ "Katiba iliyopo ilitengenezwa na watu wasiozidi 20 Kwa siku chache sana. Haipo sababu yoyote...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya zote 5 kipanga ratiba ya Zoezi la Usafi kila Wiki Ili kupambana na maradhi ya maambukizi Chalamila amesema amesikia kuna baadhi...
5 Reactions
13 Replies
669 Views
CCM:wanaodai katiba mpya ni wanasiasa ili waingie madarakani. Wapinzani:CCM wanabaki madarakani kwa kwa kutumia katiba hoi mbovu. Sasa swali ni je,kuwa upinzani kunawaondolea haki ya kuwa kundi...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Habari zinazinifikia sasa hivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana kugombea eneo huko Oldonyasambo, ambapo ndani ya eneo hilo kuna shule wanafunzi wameshindwa kutoka kutokana na mapigano...
3 Reactions
33 Replies
9K Views
Nadhani maamuzi magumu yanapaswa kufanywa na viongozi wakuu ktk Serikali zetu uswahiba na ukaribu na watuhumiwa nyangumi wa ufisadi ktk nishati ni kikwazo kikubwa sana cha maamuzi yenye tija Kwa...
1 Reactions
10 Replies
669 Views
Back
Top Bottom