Hakika kila mwenye Macho haambiwi tizama
Ili tukio ni la kwanza kutokea
Haiwezekani Mh Rais Mstaafu apewe nafasi ya kuzungumza kwenye Msiba wa Membe na atoe ya moyoni dhidi ya uhusiano wake na...
Huhitaji kuvaa miwani ya uoni mkubwa kuweza kuona dhahiri shahiri kuwa nchi yetu imefeli, tena imefeli kila idara.
Hakuna jambo lenye nafuu katika nchi yetu. Kila kitu ni bora liende, nchi...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, amemuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Bwana Benno Mallissa kuacha kuhujumu Chadema , na kwamba...
Nyinyi ndugu zangu humu jukwaani ni mashahidi. Kijana wetu leo ametulia sana humu jukwaani. Bila shaka alisafiri kutoka kwao Mbozi, mpaka Mbeya Mjini ili kwenda kuwaona Makamanda wa Chadema live...
Siku zote nilikuwa nikikutana na Prof. Kabudi ninamhusisha moja kwa moja na Wanayaturu kwa yale macho yake. Wanayaturu wengi niliosoma nao pale Mwenge Sekondari na hata Mazengo Sekondari walikuwa...
kuna tofauti kubwa kati ya hotuba za jk na zile za bm. kwa kweli hotuba za jk unaweza kusema zimeandikwa na mtoto wa shule ya sekondari. jk anapaswa kujirekebisha katika hili.
hotuba ya kikwete...
Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia...
Hivi kweli kama CHADEMA ni chama chenye nia nzuri na wananchi kinaweza kuratibu maandamano miji tofauti kwani ujumbe uliofikishwa pale Dar haukufika sehemu zngine za nchi haukufika.
Waache...
Kwa namna demokrasia inavyokandamizwa dhahiri Kabisa pale ACT Wazalendo ni Wazi katika Vyama Vyote vya Siasa nchini Chadema Ndio ina Mfumo wa kidemokrasia kwenye chaguzi za Viongozi wake
Chadema...
Kiongozi wa Israeli ajulikanae kama Bibi au Netanyahu ameapa kuwa wapalestina chini ya Hamasi hawatakuwa na nchi na watabaki chini ya utawala wa kiyaudi milele.
Na Zanzibar nayo ndio hivyo...
Miezi michache ijayo kipute cha uchaguzi wa serikali za mitaa kitaanza, Chadema inatakiwa ikamilishe chaguzi za ndani na pia ijiandae kwa uchaguzi Serikali za Mitaa, cha kushangaza uongozi kwa...
Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika
Niliandika uzi...
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi...
USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu
Wananchi katika Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wahaswa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya muungano...
Tufunge tu Mjadala kwa kusema kwenye Siasa hakuna Rafiki wala Adui wa kudumu kama alivyosema Mbowe Wakati akimtambulisha Dr Slaa pale Mwanza
Ila kuna ule Urafiki wa kitaa au mtaani kiukweli JK...
Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje...
Asalaam Aleykum wana jamvi.
Waswahili walisema, ukicheka nyani, utavuna mabua.
Hiki ndicho kinachotokea Tanzania.
Reports nyingi za CAG zinazoonesha "nyani" wanaolitesa Taifa hili zimekuwa...
Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola...
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.