Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola. Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi. Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata...
24 Reactions
121 Replies
5K Views
Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo nimepita pale Magomeni Usalama yalipo Makao Makuu ya Chama cha TLP kilichokuwa kinaongozwa na Hayati Kada Augustino Lyatonga Mrema. Jengo la Chama limechakaa na inavyoonekana hakuna shughuli...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana...
4 Reactions
10 Replies
958 Views
19 February 2024 STRATEGIC MEETING FOR STRENGHTHENING BILATERAL COOPERATION BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE ARAB REPUBLIC OF EGYPT IN THE TRANSPORT SECTOR...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda...
13 Reactions
16 Replies
1K Views
KAMATI YA BUNGE YAISHAURI TAMISEMI USIMAMIZI WA MIRADI YA ELIMU Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imeshauri Ofisi ya Rais, TAMISEMI kusimamia miradi...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage...
1 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu, Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu; Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo? Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga...
2 Reactions
19 Replies
998 Views
Wamemwaga misaada ya kutosha kwa waathirika wa mafuriko kule Hanang. Kwa macho ya kawaida unaweza kushukuru sana na kuwamwagia sifa kibao kuwa jamaa ni wanatupenda sana kwa moyo. Wana Hanang...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Akiongea Mkoani Dar Es Salaam, Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila amesema "Kwa Miezi michache iliyopita nilisema Dar es Salaam hakuna mafuriko, nilikuwa namaanisha huu Mchezo wa kuitikia mafuriko...
1 Reactions
1 Replies
770 Views
Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwenezi wa CCM Bwana "Daudi Albert Bashite" al maaruf kama Po Makonda, amekuwa na kauli tofauti tofauti dhidi ya mtu yeyote. So far kishawazodoa karibu viongozi wote,wa kisiasa na kidini...
1 Reactions
3 Replies
578 Views
Fred Lowassa akihojiwa na Millard baada msiba wa Lowassa ameongea mambo kadhaa kuhusu baba yake. Moja ya swali aliloulizwa ni kipi hawezi kusahau kutoka kwa baba yake. Fred amesema kitu kikubwa...
29 Reactions
115 Replies
9K Views
Nchi ndogo ya Malawi iliyojaa akili nyingi kwa miaka mingi haijawahi kukumbwa na Uhaba wa sukari. Bali mara zote inazidiwa na sukari kiasi cha kuruhusu ivushwe Tanzania ili kuokoa Uhaba wa sukari...
18 Reactions
68 Replies
4K Views
Chifu wa kabila la Wasafwa jijini Mbeya Chifu Rocket Mwashinga amesema anashangaa kusikia kwenye vyombo vya habari maneno yanazungumzwa kwamba machifu wa mbeya wameungana na msafara wa maandamano...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Mpo salama bila shaka! Mahasimu wakubwa wakihistoria katika imani na dini ambao ni Mungu muumbaji na Lusifa ambaye huitwa shetani licha ya uhasimu wao karibu kutoana roho na kutaka kupinduana...
0 Reactions
2 Replies
414 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu...
2 Reactions
2 Replies
476 Views
Lengo la serikali la mfumuko wa bei wa 3% kwa wakati wote halina mashiko sana kwa sababu mfumo wa bei unatakiwa uendane na uhalisia wa hali ya ajira pamoja na hali ya rasilimali fedha na ardhi...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom