Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda. Naomba majibu.
18 Reactions
113 Replies
8K Views
Naona badala ya kuongea siasa kila wakati tunaweza kuelimishana kwenye mammbo muhimu hapa.Hii topic nilishawahi kuituma. Tanzania inakabiliwa na matatizo mengi ya uchumi. Moja la tatizo kubwa...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Sababu mojawapo ya Tanzania kuwa na ajira ndogo ni riba kubwa za mikopo ya bank zetu. Imefika wakati hata Kimei ambaye alikuwa mkurugenzi wa CRDB kasema bungeni. Riba ikiwa kubwa biashara ndogo...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Yani kama si Mungu leo hii nusu ya Watanzania ingekua kila siku wanakimbia mijini maana hii hali khatari sana kila kukicha serikali ya CCM inatafuta ugumu wa maisha kwa watu hali ya chini kwa...
3 Reactions
11 Replies
700 Views
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Huyu jamaa ana uelewa mkubwa sana wa mambo ya finance. Huyu jamaa ana uzoefu mkubwa kwenye industry ya uchumi. Huyu jamaa ana uelewa mkubwa juu ya uchumi hasa wa nchi inayoendelea kama Tanzania.
21 Reactions
137 Replies
11K Views
Nimemsoma Spika Dr Tulia PhD Kule X akisema Spika Sitta alikuwa wa Kasi na Viwango hivyo ndiye Spika bora lakini kumlinganisha na yeye iwe pale atakapomaliza muhula wake wa Uspika Nakubaliana...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika. Kwa mtazamo wangu naona kuna...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari JF, life it's too short guys. Nimesikia Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza. Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Then...
19 Reactions
89 Replies
5K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani...
11 Reactions
105 Replies
6K Views
Wakuu poleni na pilikapilika za Mapokezi, hakika leo historia imeandikwa, sasa kwa vile mambo ni mengi na muda ni mchache naomba niingie moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Mapokezi mazito ya...
24 Reactions
2K Replies
87K Views
DIWANI wa Kata ya Langai, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, Jackson Leskar Sipitieck (Mugabe), amejitolea kumlipa Sh. 100,000 mwalimu wa Shule ya Msingi Langai ambaye anafundisha kwa kujitolea...
3 Reactions
8 Replies
596 Views
https://m.youtube.com/watch?v=kpxhBBVrXfk Kiongozi wa Chama cha Ukombozi wa Umma - CHAUMMA mheshimiwa Hashim Rungwe akilaumu chama kongwe dola CCM kwa matendo yake, na kusema kuwa huu ni ukatili...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za...
31 Reactions
267 Replies
23K Views
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet...
76 Reactions
200 Replies
12K Views
Ndugu yetu Mwigulu anajifunza kazini na hii wizara inahitaji mtu ambaye anaweza na kujua jinsi ya kutatua matatizo na sio kila siku kubishana na wanasiasa. Matatizo makubwa ni haya ambayo Dr Kimei...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana . Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi...
10 Reactions
78 Replies
5K Views
Janeth Rithe amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa ngome ya wanawake ya chama cha ACT- Wazalendo, huku akianika vipaumbele vyake 10 atakavyovitekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa Machi 2...
0 Reactions
3 Replies
547 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa moja kati ya mambo ambayo hayapendi, ni viongozi ambao hawatimizi majukumu yao na kuanza kutafuta sababu, huku akiwapa jina la wasanii...
0 Reactions
11 Replies
974 Views
Back
Top Bottom