Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katibu Mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema takribani miezi miwili sasa Jiji la DSM lina sintofahamu ya Maji na DAWASA hawatoi taarifa yoyote Mnyika anauliza " DAWASA mnataka tufanye maandamano?"
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama nchi, tupo katika hali mbaya sana, karibia katika kila eneo. Siamini kuwa tukichagua wapinzani, mambo yatabadilika mara moja na kuwa mazuri. Uharibifu ufanywe kwa miongo mingi, halafu...
15 Reactions
45 Replies
2K Views
Umeme umekuwa shida kuu hapa nchini, kila kona ni vilio kutokana na uhaba wa umeme. Mama hasikii kilio cha wanae, tumekuwa watoto yatima ingawa tunaye mzazi. Nani atakuja kusikia kilio cha...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mara nyingi sana huwa nawaza sana kuwa CHADEMA huwa inaokota wapi viongozi wake aina ya Godbless Lema ambao bado hawajakomaa na kupevuka kiakili katika masuala ya siasa na...
11 Reactions
179 Replies
6K Views
Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini; Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya; Lowassa na Kikwete...
9 Reactions
65 Replies
4K Views
Mbunge wa jimbo la vunjo mhe dkt charles stephen kimei atikisa bunge leo kwa mchango wake uliojaa ushauri murua ya namna ya kuongeza pato la taifa, kuzalisha ajira na kuboresha maisha ya kila...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ametoa kauli hiyo baada ya kufika kutoa pole ya Msiba nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10, 2024...
22 Reactions
215 Replies
14K Views
Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 jimbo la Moshi vijijini lilimpata mbunge wake,Profesa Patrick Ndakidemi kupitia chama cha mapinduzi(CCM)baada ya kuwashinda wapizani wake akiwamo mpinzani wake...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Maswali ya msingi katika kutembelea line hiyo: 1. Umeme nguzo zimeoza na zingine zimeinama na kulala huko msituni ikitokea Mbeya kwenda Chunya. 2. Umeme umesafirishwa zaidi ya kms 150 kutoka...
1 Reactions
2 Replies
724 Views
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia...
10 Reactions
218 Replies
16K Views
Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna...
45 Reactions
89 Replies
6K Views
Katika nchi ambayo ina wasomi wengi sana nje ya nchi, ni Kenya. Kenya wamewekeza katika elimu ambayo inajibu mahitaji ya soko la dunia, wasomi wao wanakubalika sana duniani. Katika kuenzi maisha...
5 Reactions
75 Replies
3K Views
Akiongea na Wandishi wa habari Waziri wa Afya Nassor Mazirui (ACT wazalendo) amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ipo kwenye mchakato wa kubinafsisha Hospitali zote za Zanzibar ile...
9 Reactions
123 Replies
11K Views
19 February 2024 Munich, Germany Speaking at the Munich Security Conference, Tanzania Defense Minister Stergomena Tax discusses issues facing Africa currently, and how they can be addressed...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Habari za usiku huu wana nzengo, kutokana na research niliyofanya kupitia sample (x) nimegundua ya kwamba Oktoba 2025 historia inaenda kuandikwa hapa Tanzania. Mama huenda ndiyo akawa raisi...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere... Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kumekuwa na msuguano mkali kati ya wananchi wa Kitulila na Uongozi wa wakala wa Barabara mkoa wa Njombe. Wananchi wanapinga kusudio la Tanroad kuchepusha Barabara ya Njombe Ludewa kwenye mradi wa...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Kama ilivyo desturi hatuwezi kukaa kimya kuacha sinema za karne iliyopita ziendelee tena kila uchaguzi unapokaribia. Sukari adimu kwa maelezo Yao wenyewe uzalishaji ni mdogo kuliko mahitaji...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
Hatuvumi ila tumo. Tanzania inashika namba 8 Afrika Kwa Nchi zinazotumia pesa nyingi Kwa shughuli za kijeshi yaani defence expenditures ambapo inakadiriwa kutumia takribani Shilingi Trilioni 4.5...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Nikiwa nimehathiwa historia ya uhuru na kusoma historia zilizonadikwa kuhusu uhuru wa Afrika, niligundua kuwa mipango ya kuwapatia uhuru wa’frika ilitibuliwa na watu walioitwa baadaye wapigania...
0 Reactions
3 Replies
330 Views
Back
Top Bottom