"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"
Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.
Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa...
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine...
Wakati wa Prof Muhongo,wakipigia upatu mradi wa gesi ya mtwara,akisaidiwa na wanasiasa wa vyama vyote mfano akina Zitto,waliahidi kuwa huu mradi ukianza hakutakuwa na mgawo wa umeme tena.
Na...
Mwamba ni wa kitambo,
Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa...
1. Rais Jakaya Kikwete.
2. Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
3. Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.
4. Philip Mangula.
6. Balozi Seif Ali Iddi.
7. Mizengo Pinda.
8. Abdulrahman Kinana.
9...
Hii wiki Nyota ya Chadema imeng'aa sana kwani kila kikwazo kilichoibuka mbele yao Walikiruka
Tulitangaziwa Tundu Lisu angehojiwa Star tv lakini hatukumuona na badala yake Mjumbe wa CCM ndio...
Kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu (CWT), Mwalimu Japhet Maganga wakati akizungumza na Wanahabari ofisini kwake Mkoani Dodoma, amesema “Kuna mbinu chafu zinapangwa kunidhalilisha nionekane...
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani...
Wanabodi,
Naangalia TBC Live, Rais Jakaya Kikwete yuko hewani!
Miongoni wa mazuri ya JK, ni having a good sense of humour, akiongea, huchoki kumsikiliza!.
Alipokuwa akiongelea kilimo cha ndizi...
Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema.
Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani...
CHALINZE YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO NCHINI. YATIA FORA PIA UPELEKAJI WA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO.
Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani inayoongozwa na Mbunge Mhe. Ridhiwani...
Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani yenye Mbunge wake Ridhiwani Kikwete, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, leo Ijumaa Novemba 24, 2023 imetunukiwa hati ya pongezi...
Wakati wa kutoa neno la shukrani, wanafamilia wawili wa Hayati Lowassa ambao ni Richard last born na Fredrick first born walisimama kutoa shukrani zao kwa waliohusika kushikamana na familia...
1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti
2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite
2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji...
Tunapokuwa na viongozi imara kama taifa tunakuwa na uwezekano mkubwa wa kuendelea.
Moja ya kiashiria cha uongozi bora ni uwezo wa kutuunganisha tunapotofautiana.
Je, viongozi wetu wa kitaifa...
Yaliyotokea leo hatuwezi kuyarudia kuyaandika hapa , bali ni dhahiri kwamba CCM na serikali yake inamuogopa mno Freeman Mbowe ( Tunaishukuru JF na wadau wake ) , Waliosabanisha Mbowe apewe...
Malasusa hajachaguliwa na kanisa amechaguliwa na Serikali
Hakuna asiyejua Malasusa ni member wa kaunda suti kule kitengo
Safari hii amewekwa na mamlaka kuisadia Serikali na kupambana na TEC...
Sikubaliani kabisa na huyu ndugu yangu mbowe na kwa upande wangu anakosa sifa hata za kuwa mgombea wa JMT kupitia chadema. Mimi ni mwana CCM by birth , ila hotuba ya Mbowe leo, CCM wenzangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.