Watu kama Adolf, JPM, Putin, Cuba na China huwa hawaamini katika democracy hasa linapokuja suala la kuongoza mamilioni.
Ni lazima only selected people the elite ndio wawe na sauti.
SIMAI ...
Iliichukua TANU chini ya miaka kumi kupata uhuru wa Tanganyika, lakini sasa ni zaidi ya miaka hamsini Tanganyika inapambana kutoka katika shimo lililowekwa na watawala weusi bila mafanikio...
Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya...
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa CHADEMA Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lissu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice.
Juzi pale Star TV...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hasssan kipenzi cha watanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi...
Wakuu wa nchi za Africa wamekutana nchi Ethiopia ambayo ni makao makuu ya Umoja wa Africa huku agenda zao kuu ni pamoja na masula ya usalama, elimu, uchumi, nk.
Nauliza je tuwaamini kwamba...
Salaam wanaforums!
Moja kwa moja kwenye maada,mwezi wa tisa mwaka 2023 nilipatwa na tukio ambalo halijawah kunitokea na nnahisi halitofutika maishani mwangu.Kwanza kabisa mimi ni mjasiriamali...
Naweza kusema Lowassa amekuwa overrated sana ndani ya CCM na nchi kwa ujumla. Nguvu za Lowassa ndani ya CCM zimetiwa chumvi nyingi sana.
Haikuwa nguvu ya Lowassa iliyomfanya Kikwete mgombea wa...
Nimesoma Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lema huko X ukurasani Kwake akidai Waliotuambia Lowassa ni Fisadi jana walikaa Viti vya mbele msibani Wakijifanya kulia na kumtolea Matamko mazuri...
Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania?
Sukari kilo 5,500
Nyama kilo 10,000
Mchele kilo 4,000
Unga kilo 2,800
Petroli lita 3,300...
Kwa mujibu wa data kutoka BoT kama zilivyonukuliwa na jarida la The Chanzo zinabainisha kwamba Tanzania ilitumia takribani Shilingi Trilioni 2 Kwa mwaka 2023 sawa na Dola mil.800 kuagizia bidhaa 3...
Maandamano makubwa yaliyo fanyika Jana toka pande tofauti za jiji la Mwanza yamehitimisha dhana kuwa Ziara ya mwenezi wa CCM Makonda kanda ya ziwa iliyokuwa ina tafsiriwa ni kifo cha siasa za...
Hakika kwanza nianze na POLE nyingi sana kwa Familia ya Hayati Edward Lowassa,Rais Samia Ccm na CHADEMA.
Hayati Edward Lowassa alikuwa Mwanachama wa Ccm mpaka pale Chama chake kilipomkata jina kwa...
Vijana wa CCM wakimvika skafu Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete muda mfupi baada ya kuwasili mjini Dodoma kongoza kukao cha Halmashauri kuu ya CCM taifa.
Halmashauri Kuu ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna jambo ambalo Mwenyezi Mungu kaliweka ndani ya Dkt. Tulia Acksoni Mwansasu, Dada wa Taifa, Msomi Nguli wa Sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini, Spika wa Bunge...
Kuna yule mbunge wa Chato nadhani mhe Medard Kalemani ni kosa gani kubwa ambalo Kalemani alifanya hadi kutorewa nishati?
Alikuwa mchapakazi, hakuwa mswahili hata kidogo alikuwa hapendi uzembe...
Kweri huyu alikua shujaa hii clip ya Magufuri akiuliza ishu ya umeme imenifanya nilie
Wapendwa hapa nalia muda huu Tanzania haitokuja kupata shujaa kama huyu
Huyu baba alikua anajua shida za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.