Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tume ya Ushindani wa Haki Tanzania (FCC) imefichua kuwa Adani tayari ameshapewa dili la kuendesha kontena la bandari ya Dar es Salaam, ingawa hakuna tangazo lililotolewa na TPA. Ununuzi huo...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
🕯Salaam Wakuu🕯 1. Nyuzi zinapishana sana 2. Historia imerudi nyuma 3. Mengi yameibuka. 4. Wengi wamezungumza 5. Lakini sioni wa kumwamini Napata picha ENL alikua mtu mkubwa sana katika siasa ya...
6 Reactions
6 Replies
732 Views
Kelele na uongo mwingi unaozungumzwa ni kutokana na ndoto ya watu wa kaskazini kutoa Rais wa nchi kupotea huku matumaini yao makubwa yakiwekwa kwa Lowassa ambaye kwa wakati wake alionekana ndiye...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi, Mimi ni mtu wa mastori mastori, yaani mimi ni orator au story teller, kuna huu msemo wa Kiswahili wa "mgeni njoo mwenyeji apone" ila kuna ugeni mwingine ni Mgeni njoo mwenyeji akome...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna mkuu wa Wilaya huko Serengeti ka agıza mwanachi yoyote asie hudhuria Mikutano akamatwe apelekwe kwa nguvu Kwenye mkutano au Apeleke mwenyewe 5000 kwenye ofisi ya kijiji ana shindwa kujua...
2 Reactions
3 Replies
350 Views
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo? Who is lowassa by the way kwenye...
32 Reactions
249 Replies
9K Views
Mbunge Amandus Chinguile: Ni lini Serikali Italigawa Jimbo la Nachingwea. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutangaza utaratibu na sifa za kugawa majimbo mbalimbali nchini, ikiwa ni...
0 Reactions
7 Replies
664 Views
Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Angalizo: Kama neno kulamba matapishi, linakutia kinyaa, nakushauri usiusome uzi huu!. Hili ni swali kuhusu kitu kinachoitwa matapishi ya kisiasa!, kwa nini watu waone kulamba...
10 Reactions
53 Replies
9K Views
Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara...
11 Reactions
60 Replies
7K Views
Wanabodi, Sometimes you have to take the bitter with the sweeter!. Kitendo cha Lowassa kujiunga Chadema, ingawa ni very sweet move kwa wengi, ila kwa wengine it's very bitter move...
47 Reactions
313 Replies
36K Views
Trump alikuwa na slogan yake ya Make America Great Again(MAGA). Baadaye wafuasi wake wakaanza kuitwa MAGA. Hawa jamaa huwaambii kitu kuhusu Trump. Kwao Trump ni kama Malaika au demigod. Kwao Trump...
2 Reactions
5 Replies
480 Views
https://twitter.com/bbcswahili/status/1759488025426321782?t=Iaq3wnJbuHORDnFRXs9O9Q&s=19 My Take Nionavyo Mimi hii Sanamu Haina sura ya mwl.nyerere sijui wenzangu mumegundua Hilo? 👇👇 Maoni ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika, ameanika namba ya Spika hadharani ili ahojiwe moja kwa moja na Wananchi kwa kukataa kutii sheria inayomtaka awaondoe bungeni watu 19 waliofukuzwa...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
"Stop, O People, that I may give you ten rules for your guidance, in the battlefield. Do not commit treachery or deviate from the right path. You must not mutilate dead bodies. Neither kill a...
4 Reactions
9 Replies
939 Views
Mbunge Simon Lusengikile: Gari ya Milioni 120 Yauzwa Milioni 8 MBUNGE wa Jimbo la Busega, Simon Lusengikile ameitaka Wizara ya Fedha kuja na mpango utakaoonesha ni namna gani uthaminishaji wa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Unajifanya unachukia sana Mtu Akimsifia kiongozi wa CCM Lakini wenyewe. Hawa. Chukiani hivyo na ndio. Leo. Makonda. Na. Mboe wamekaa. Sehemu moja. Mkataze. Basi. Mboe. Asikae na. Viongozi. Wa ccm...
1 Reactions
5 Replies
386 Views
Maandalizi ya maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mwanza yamefikia asilimia 90 huku miongoni mwa waliothibitisha kushiriki ni mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbrod Slaa...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi ni mwana CCM lakini sikubaliani na unafiki wa hovyo na kijinga katika zama za kidijitali na upotoshwaji wa historia. Huwa napinga maandishi ya Mzee Mohamed Said hapa JF kutokana na simulizi...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13...
14 Reactions
104 Replies
8K Views
Back
Top Bottom