Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mungu ni mwema Wakati wote Hatimaye Freeman Mbowe apewa nafasi ya kuzungumza Msibani kwa Lowassa. -- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijafurahia kitendo cha kutotajwa...
29 Reactions
167 Replies
8K Views
Ni majitu yale yale yaliyo iba kura za mzee Lowasa 2015 kwa bao la mkono ndio yaliyo taka kuiba CV ya mzee Lowasa tena akiwa amelala. Dakika za jionii kabisaa mahafidhina ya ccm yakiwa yakiwa...
2 Reactions
0 Replies
261 Views
Kikwete jiwekee akiba NIMEPATA kueleza kwa zaidi ya mara mbili namna ninavyoguswa na ugumu wa kazi zinazomkabili Rais Jakaya Kikwete wakati anapotimiza wajibu wake kama mkuu wa nchi, Amiri Jeshi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tundu Lissu ameyasema hayo alipotembelea familia ya Lowassa kuhani msiba kuwa amefika kumpa pole mwalimu wake aliyemfundisha darasani miaka arobaini na moja iliyopita. Tundu Lissu amesisitiza...
12 Reactions
98 Replies
8K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za...
0 Reactions
1 Replies
347 Views
Hii ndio Taarifa fupi iliyosambazwa na chama hicho leo kote Duniani , Kwamba Chama hicho kitaongea na Wanahabari na huenda kesho kikatoa ratiba ya Maandamano kwenye jiji hilo Ikumbukwe kwamba...
2 Reactions
8 Replies
829 Views
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama Lowassa...
64 Reactions
111 Replies
8K Views
Mbunge wa jimbo la moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi licha ya kuwepo makundi hasi yanayopambana kuhakikisha yanakwamisha juhudi zake katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake,msomi...
4 Reactions
8 Replies
801 Views
Niwaulize CCM kweli ni vizuri kumuweka mtu wa aina ya Balozi Emanuel Nchimbi mwenye ueledi wa juu na siasa za kistaarabu kufanya kazi Makonda? Mh Kinana kwanini hukumshauri Rais mkiona watu kwenye...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Ukiacha kwamba hii ni fursa naichukia ila ni aibu Kwa Nchi kama Tanzania ambayo Ina mifugo wengi namba 2 Afrika wakiwemo Ng'ombe tukiwa tumezidiwa na Ethiopia tuu ila tunazalisha maziwa Lita kati...
15 Reactions
116 Replies
5K Views
Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye...
16 Reactions
150 Replies
10K Views
Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu. Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu...
3 Reactions
14 Replies
967 Views
Habari wakuu, Najua hili ni jukwaa husika nitapata msaada, kwa kipindi kirefu tokea nimalize chuo nilikuwa jkt sikuweza kupata fulsa ya kujihusha na siasa japo tulikuwa tunakutana na vijana wa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mtunza Hazina wa CCM na mbunge wa Igunga Bilionea Rostam Aziz amesema Lowassa alikuwa ni ndugu yake na wameishi Nyumba moja kwa miaka 15 Rostam amesema Lowassa hakuondoka CCM kwa...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Wacheni ujinga na unafiki, Leo Lowassa katangulia WOTE tunampaka maradhi na kumfukiza Udi. Tuache unafiki. Lowassa alikuwa KIONGOZI mzuri lakini alikuwa na makandondo yake. 1. Lowassa Akipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Hatari sana, kiukweli rais anapewa safari nyingi sana.... Sana.... Anasafiri sana . Nchi si keshafungua? Si ukifungua inatakiwa watu waingie? Sasa kufungua huku kumekuwa ni kwa kutoka. Tupo...
0 Reactions
13 Replies
474 Views
Huyu bwana anastahili pole kubwa sana, humu kila mtu anadai eti ni mnafiki kwakuwa alimsaliti Lowassa kuwa rais wa nchi, hivi naomba kuuliza, JK alikuwa na mamlaka yepi ya yeye peke yake...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
SOMA HABARI YOTE KABLA YA KUCHANGIA TAFADHALI. Edward Lowassa na Rais Jakaya Kikwete walikuwa ni marafiki wa dhati mbele ya macho ya watu. Kila mmoja kwa nafsi yake alikuwa na lengo lake. Mmoja...
8 Reactions
42 Replies
11K Views
Mo, Lowassa, Rostam wote waliingia kwenye siasa kulinda uwekezaji wao na mapenzi ya vyama ni fake. Ndiyo maana wameingia na kutoka. Hata Lowassa iko siku atatoka. Ukiangalia vizuri marafiki zao...
4 Reactions
11 Replies
934 Views
Back
Top Bottom